Kukubari sera za unyonyaji ni kuuza uhuru

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,120
Mimi nadhani ifike mahala watanzania tuamke..watanzania tukatae sera ambazo tunaona hazitufai maana tukizidi kukubali kila tunachoambiwa tutajikuta siku tunaambiwa tuondoke tukimbie tuiache nchi hii twende mbali asionekane hata mtanzania mmoja...
msikilize NYERERE hapo
 
Hakika sera za kinyonyaji ndizo hizo zilizoletwa na wakubwa tukazipokea katika mfumo wetu na ndizo zinazoongoza maamuzi yetu kwa sasa naweza sema tupo kwenye zama ya giza la kisiasa ambalo ni kawaida nchi kuongozwa na decrees tu pasipo kufuata katiba
tuna safari ndefu sana!
 
sijui tufanyaje kuzuia hiyo isizidi kutuathiri maana tukiandamana tunapigwa mabomu...tunamwagiwa maji ya kuwasha...risasi zinatumika tabu hii tutaiepuka vipi
 
Back
Top Bottom