Kukua kwa uchumi na kuimarika kwa viwanda: Rhino Cement wapunguza wafanyakazi, hongera Magufuli na CCM tunaisoma namba

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1522483358180.jpg
FB_IMG_1522483339809.jpg
FB_IMG_1522483353046.jpg
 
Watu wapuuzi sana! Mfano, unavyosema population ya nchi X inaongezeka (inakuwa) haimaanishi kuwa watu hawafi...pia tunavyoongelea kuwa uchumi unakuwa, haimaanishi kuwa hakuna viwanda vinavyofungwa, kufa au kupunguza wafanyakazi..btw, kupunguza wafanyakazi inawezekana ikawa ni mbinu ya kubadili teknolojia, from Human Intensive to Capital Intensive. Tatizo watanzania huwa tunajifanya tunajua kila kitu,
 
Umesoma hiyo barua?
 
Hii ni kampuni ya pili ya construction kulalamika. Kumbuka moja ya indicator ya ukuaji wa uchumi ni pamoja na ukuwaji wa sekta ya ujenzi.

Sasa tunaona inaanza kudolola. Soon tutasikia sekta ya mawasiliano nayo inadolola. Ha ha naipenda Tanzania yangu
 
Watu wapuuzi sana! Mfano, unavyosema population ya nchi X inaongezeka (inakuwa) haimaanishi kuwa watu hawafi...pia tunavyoongelea kuwa uchumi unakuwa, haimaanishi kuwa hakuna viwanda vinavyofungwa, kufa au kupunguza wafanyakazi..btw, kupunguza wafanyakazi inawezekana ikawa ni mbinu ya kubadili teknolojia, from Human Intensive to Capital Intensive. Tatizo watanzania huwa tunajifanya tunajua kila kitu,
Mkuu hawa jamaa plant zote za Tanzania zimekuwa Commissioned between 2007~2014 Dar pamoja na Tanga. Maanake unataka kusema waliweka old technology.

I am sure jamaa hajarudisha ata pesa aliyo invest kwenye viwanda vyake
 
Watu wapuuzi sana! Mfano, unavyosema population ya nchi X inaongezeka (inakuwa) haimaanishi kuwa watu hawafi...pia tunavyoongelea kuwa uchumi unakuwa, haimaanishi kuwa hakuna viwanda vinavyofungwa, kufa au kupunguza wafanyakazi..btw, kupunguza wafanyakazi inawezekana ikawa ni mbinu ya kubadili teknolojia, from Human Intensive to Capital Intensive. Tatizo watanzania huwa tunajifanya tunajua kila kitu,
Ufahamu unao kweli, yani wewe unatetea tu bila hoja. Ungesoma kwanza hizo sababu walizozitoa si unaleta tu sababu za kipumbavu.
 
Kila mkoa unatakiwa kujenga viwanda 100 kwahiyo serikali haina wasiwasi watakaopunguzwa wataajiriwa kwenye hivyo viwanda 100 vinavyojengwa.

Acheni utani jamani na maisha ya watu. Kama nyie mnakula na kuvimbiwa waoneeni huruma hawa Watanzania, nao ni binadamu na wana mahitaji kama yako.

Kama hamuwezi kuwahurumia basi msiwadhihaki namna hii.
 
Watu wapuuzi sana! Mfano, unavyosema population ya nchi X inaongezeka (inakuwa) haimaanishi kuwa watu hawafi...pia tunavyoongelea kuwa uchumi unakuwa, haimaanishi kuwa hakuna viwanda vinavyofungwa, kufa au kupunguza wafanyakazi..btw, kupunguza wafanyakazi inawezekana ikawa ni mbinu ya kubadili teknolojia, from Human Intensive to Capital Intensive. Tatizo watanzania huwa tunajifanya tunajua kila kitu,
Mkuu soma vizuri hilo tangazo, sababu sio mabadiliko ya technology, etc ni Mabadiliko ya Kiuchumi!!
 
Back
Top Bottom