Wanafaa kwa nini mkuu?
Mmmmmmhh Mpwa mie sipo najua unataka useme wanafaaa ku-replace baadhi ya wachezaji wa Timu fulani hivi
Hawa wanafaa kwa sana kwa supu na chapati asubuhi!
Mmmmmmhh Mpwa mie sipo najua unataka useme wanafaaa ku-replace baadhi ya wachezaji wa Timu fulani hivi
Mkuu unahitaji maombi ili uache ukolofi lol. yaani yaaaani nakosa hata jibu
Mpwa acha uchokozi tuna majonzi hapa na London!
hawa ndo walikuwa wanawafanyia simba mazoezi kabla ya liboro!
Haaa mpwa Elli sasa unanitangazia vibaya na kunifananisha na wale wazee wa mahubiri ambao wanatoza malipo kwa kuombewa..!
ha ha tena unamnunulia haram mkuu,ila litim letu limekuwa kibogoyo sana mpaka kelo
mkuu ndo zilikuwa mechi za kujipima nguvu!!!walikuwa wanajua watashinda..?