Kuku wangu hawatagi?

hebu chapa viboko, washenzi kweli hao kuku wanakataaje kutaga!!?
 
Hawa kuku ukiwaangalia bado ni wadogo kwa kutaga. Subiri mpaka wafikishe miezi sita.

Ila pia angalia ulishaji wa chakula uwape kwa kipimo, ikiwa unawapa kingi watakuwa na mafuta mengi na kutaga itakuwa shida na ukiwapa kidogo nayo pia itachangia kuchelewa kuanza kutaga na hata wakianza watataga machache.

kitu cha kufanya ili ujiridhishe kama wameshaanza kutungisha mayai au bado chinja mmoja umuamgalie.
 
Kuku wko km ps ambao mayai yao ytapelekwa hutchery kutotolesha hao wanahitaji majogoo,,km mayai ya kula huwa wanataga wenyewe tu pia umri wao ni mdgo sana
 
ATTACH]
hawa hapa machotara wa malawi wana miezi saba na week hawatagi nimeweka majogoo wanaowazidi umri wanapandwa week ya tatu sasa ila hakuna cha yai wala nini nafanyeje?
ninaishi kiluvya
 
Attachments

  • 1483350438690.jpg
    1483350438690.jpg
    81.3 KB · Views: 49
ATTACH]
hawa hapa machotara wa malawi wana miezi saba na week hawatagi nimeweka majogoo wanaowazidi umri wanapandwa week ya tatu sasa ila hakuna cha yai wala nini nafanyeje?
ninaishi kiluvya
Wa mayai ya kula au kutotolesha vifaranga
 
Hawa kuku ukiwaangalia bado ni wadogo kwa kutaga. Subiri mpaka wafikishe miezi sita.

Ila pia angalia ulishaji wa chakula uwape kwa kipimo, ikiwa unawapa kingi watakuwa na mafuta mengi na kutaga itakuwa shida na ukiwapa kidogo nayo pia itachangia kuchelewa kuanza kutaga na hata wakianza watataga machache.

kitu cha kufanya ili ujiridhishe kama wameshaanza kutungisha mayai au bado chinja mmoja umuamgalie.
Sawa mkuu
 
Tatizo mkijua kutype tu unajihisi unajua kila kitu wakati hamna kitu...jogoo anahusika kuweka mbegu kwenye yai la Kuku jike ili litotolewe likitamiwa sio Kuku jike kutaga acha kukuriri dada
Wewe mama ficha ujinga wako, kwanza kanyonyeshe kabla kukomenti usivyovijua
 
Hao kuku wako wana umri gani? Kwa kawaida kuku wanaanza kutaga wakiwa na wiki kati 19 na 21 na wanafika kiwango cha juu wiki ya 29. Hivyo endelea kufuatilia hadi wafikie umri huo.

Pili ili kuku watage lazima wale washibe na nunua layers mash wape (kama ulikua huwapi) ndani ya sikutatu wataanza kutaga.

Kama hakuna fuatikia kuhusu mazingira yao kuna kelele, joto sana na otherstress factors

Kama hakuna shida itakua na breed uliyochukua inashida solution ni kuchinja na kuchukua wengine
 
ATTACH]
hawa hapa machotara wa malawi wana miezi saba na week hawatagi nimeweka majogoo wanaowazidi umri wanapandwa week ya tatu sasa ila hakuna cha yai wala nini nafanyeje?
ninaishi kiluvya

Sijafanikiwa kuona picha ila ningependa kujua unawapa chakula gani? Jee unawapa layers? Au unawapa pumba pekee?

kuku anatakiwa atage pasipo kupandwa na jogoo. Lengo la jogoo ni kurutubisha yai tu na sio kusababisha kutaga.
 
Ok, jogoo anarutubisha mayai yaweze kutotoleka. Kuku akilishwa vizuri anataga. Mfano mzuri mimi kwa sasa sina jogoo hata moja na nina kuku ni wakienyeji kabisa. Huwa nawapa machanganyiko wa pumba za mahindi na dagaa/unga wa dagaa. wanataga vizuri tu.
Je wanaweza kutotoa hao kuku wako wa Kienyeji wasio na jogoo?
 
Je wanaweza kutotoa hao kuku wako wa Kienyeji wasio na jogoo?
Hayo mayai hayatotoleki. Ukitaka kupata vifaranga lazima hyo mayai yawe fertilized na jogoo. Inashauriwa uwiano wa jogoo 1 kwa majike 7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom