Kuku wangu hawatagi?

1483258313231.jpg
1483258313231.jpg
1483258313231.jpg
1483258313231.jpg
1483258313231.jpg
 
Hao kuku wako bado ni wadogo kiumri kuhusu kutaga aisee......ila huwa wanapandwa na majogooo?
Pia watengeneze eneo kubwa mara moja moja wawe wanatoka kwenda kucheza na kukaa kwe hilo eneo kwa muda fulani wasiwe bandani tu muda wote!!
 
Hao ni wale wa kisasa wanaotaga tu baada ya kushiba sio hao anaowasema mleta mada wa chotara
Dah! Sasa jogoo anamsaidiaje kuku kutunga mayai? kwani kuku machotara wana physiology tofauti na wa kienyeji? unanilet down mkuu.
 
Watakuwa hawana madini ya Calcium.. Walishe dagaa za kutosha ili wapate madini ya kutengenezea maganda ya mayai...
 
Dah! Sasa jogoo anamsaidiaje kuku kutunga mayai? kwani kuku machotara wana physiology tofauti na wa kienyeji? unanilet down mkuu.
Kwani mkuu kuku wa kienyeji kutunga na kutaga mayai si ni mpaka apandwe na jogoo,we unajuaje juu ya hili?
 
Mi navyojua mkuu Lepanto ni kuwa kuku wa kienyeji na hata Chotara kutaga ni mpaka apandwe na jogoo
Ok, jogoo anarutubisha mayai yaweze kutotoleka. Kuku akilishwa vizuri anataga. Mfano mzuri mimi kwa sasa sina jogoo hata moja na nina kuku ni wakienyeji kabisa. Huwa nawapa machanganyiko wa pumba za mahindi na dagaa/unga wa dagaa. wanataga vizuri tu.
 
  • Thanks
Reactions: etb
1/4 inakuhusu mkuu si bure, hadi leo hujui uhusiano wa jogoo na jike kutaga?
Tatizo mkijua kutype tu unajihisi unajua kila kitu wakati hamna kitu...jogoo anahusika kuweka mbegu kwenye yai la Kuku jike ili litotolewe likitamiwa sio Kuku jike kutaga acha kukuriri dada
 
Hao kuku wako bado ni wadogo kiumri kuhusu kutaga aisee......ila huwa wanapandwa na majogooo?
Pia watengeneze eneo kubwa mara moja moja wawe wanatoka kwenda kucheza na kukaa kwe hilo eneo kwa muda fulani wasiwe bandani tu muda wote!!
Wanapandwa na jogoo.
Pia huwa nawatoa nje nawaachia wanazunguka then nawaludisha ndan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom