mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 319
Nauza kuku aina ya SASSO. Wana wiki 11. Bado wiki 10 hadi 13 mitetea waanze kutaga.
-Jumla wapo 76. Wana uwiano sawa wa idadi..yani nusu kwa nusu na mitetea.
-majogoo unaweza kuyauza msimu wa sikukuu kwa kuwa tayari watakuwa na wiki 18 wanakuwa wakubwa kwaajili ya nyama na uache mitetea iendelee kutaga.
Bei ni 10000 kwa kuku mmoja na nawauza wote wapo 76. Laki 7 na elfu 60. ARUSHA

- wana chanjo zote nne za awali(mareks,newcastle mara 2, gumboro mara 2, ndui)
- niliwachukua wakiwa na umri wa siku moja kutoka Silverlands. Walikuwa 100 ila kutokana na uangalizi duni walifariki kutokana na baridi ile week ya kwanza.