Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,450
- 24,709
Kijiji sitasem hapa ila ni mkoa wa katavi.Toa location huko ulipokuta hao wasiouguamagionjwa yoyote ya kuku kwa bei hio, sikia mimi pia nimefanya hio biashara sema hapa nikisema nitakua naharibia watu ila ipo hivi kijijini ndani ndani hua wanauza hao kuku wapo ila changamoto yake hao kuku sio kwa ajili ya kufuga ni kwa ajili ya chakula migahawani
Tulikua tunaenda kuzoa kuku wengi tu kwa ajili ya kupika kwenye mgahawa ila ni kwa ajili ya kuwala leo leo yaan ukienda kuchukua usikae nao zaidi ya siku 5 mpaka 7 la sivyo wanakufa wote, kwa hio tulikua tunaenda kuzoa watu wanapikiwa mgahawani na wanakula bila kujua wanauziwa kitoweo cha aina gani, na nilipokua kulikua na dili kubwa la kuku sababu huko watu wanapenda sana nyama hususani kuku kwa hio tulikua tunaenda kuwazoa kijijini ndani ndani huko na pikipiki uliza bei 4500 tu haijarishi unachukua jogoo au tetea ila sio wakubwa sana ni wale waliotimiza kuanzia miezi 6 sema kiafya wanaonekana zoofu ndio tunawabeba kwenda kuwapika mgahawani
Kwa hio usifikiri sijui hizo harakati haya sema wewe hao wa 7000 umewatoa kijiji gani huko ulipo?
Mkuu Mimi mfugaji wa muda mrefu kidogo now kwenye game nipo kwa 11 yrs.
Hivyo najua kuku wagonjwa nk. Bahati nzuri kabisa wasukuma wamejaliwa roho nzuri na tofauti sana ni ngumu sana kukuuzia anayeumwa.
Hivyo ni kuku wazuri sana kwq ufugaji kama una experience ya ufugaji ukiwaona tu unajua hawa watakufaa kisha unauliza utagaji wao!
Hata mimi narudi kufuga huko maana hadi natoka gunia la pumba za mahindi lina 10-12k ujazo ni gunia hadi lijae!
Debe au dumu lita20 ni 2000 au 1500.
Hivyo nikifika nitakuwa naenda mji hadi mji kununua kuku wa kufuga.
Najua mbegu nzuri huwezi niingiza chaka.