Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 187
- 197
De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers)
De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku.
Kwa nini hufanywa?
✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai.
✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku
hushambulia wenzao wakipata msongamano au stress.
✓ Kupunguza upotevu wa chakula - bila de-beaking, chakula kingi hupotea wanapokipiga hovyo.
Kwa kuku wa kutaga, hii ni hatua muhimu ili kuhakikisha: Uzalishaji bora wa mayai
Afya na usalama wa kundi zima
Lakini kumbuka, de-beaking lazima ifanywe na mtaalamu kwa umakini, ili kuepuka majeraha makubwa.
→ Kupata ratiba za matunzo, kumbukumbu za afya na usimamizi rahisi wa kuku wako, pakua Fuga App leo msaidizi wako wa kidijitali wa shambani.