Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,894
- 172,692
ha ha ha ha sanaaa yani tabu hata sienjoy!!!!Basi sasa hivi unaonekana unapata tabu sana eeeeeh!?
Mtupe hela labda....
ha ha ha ha tunataka hizo za kwenye wallet zenu, bank mzifate nyie wenyeweNendeni mkachote bank
ha ha ha ha tunataka hizo za kwenye wallet zenu, bank mzifate nyie wenyewe
Si kingine bali ni wivu, wivu mkali wa kupindukia. Wivu huwakilisha kijitabia cha kutojiamini ktk mambo yako.
Nimeshaona au kusikia watu wengi wake kwa waume wenye tatizo la kutojiamini au kuwaamini wapenzi wao hivyo kuona njia pekee ni kumchunga Mpenzi wake, au ukaguzi wa simu zilizoingia na kutoka ikiwa ni pamoja ujumbe mfupi wa maneno.
Wanaume wengine wanadiriki hata kuwaachisha kazi wenzi wao,wengine hata kwenda makwao tu kusalimia utasikia Mume anatoa kisingizio cha nani ataangalia nyumba na watoto.
Huu wote ni uchochezi wa wivu usiodhibitiwa.
Mwanamke anaweza akawa na wivu ila usivuke mipaka vilevile mwanaume unapokuwa na wivu kupita kiasi inakuwa ni aibu tena aibu kubwa sana.
Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini, vinginevyo jiandae kudharauliwa, kuibiwa na mwishowe kuachwa kabisa.
Wote mna wajibu wa kuwa waaminifu, kama humuamini kwanini kupoteza muda wako kwake?

unavoniita serious hivo utanibakiza kweli wewe? au ndo ntakimbia na hela niache mezani....Njoo uchukue sasa
Poa besti , umepotea sana....Dr. Habari ya siku mingi?
Ukisikia paa ujue imepata.
unavoniita serious hivo utanibakiza kweli wewe? au ndo ntakimbia na hela niache mezani....
Si kingine bali ni wivu, wivu mkali wa kupindukia. Wivu huwakilisha kijitabia cha kutojiamini ktk mambo yako.
Nimeshaona au kusikia watu wengi wake kwa waume wenye tatizo la kutojiamini au kuwaamini wapenzi wao hivyo kuona njia pekee ni kumchunga Mpenzi wake, au ukaguzi wa simu zilizoingia na kutoka ikiwa ni pamoja ujumbe mfupi wa maneno.
Wanaume wengine wanadiriki hata kuwaachisha kazi wenzi wao,wengine hata kwenda makwao tu kusalimia utasikia Mume anatoa kisingizio cha nani ataangalia nyumba na watoto.
Huu wote ni uchochezi wa wivu usiodhibitiwa.
Mwanamke anaweza akawa na wivu ila usivuke mipaka vilevile mwanaume unapokuwa na wivu kupita kiasi inakuwa ni aibu tena aibu kubwa sana.
Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini, vinginevyo jiandae kudharauliwa, kuibiwa na mwishowe kuachwa kabisa.
Wote mna wajibu wa kuwa waaminifu, kama humuamini kwanini kupoteza muda wako kwake?
huhuhu nipo mupenzi, mis yu more.....dedication song: diamond ~nitarejeaHaaaa ahhaa hayupo. ila baby wangu tabibumtaratibu simuoni memmiss kweli
Hujambo mpenzi bubu. Ya kizee hayanaga mbitambita au sio?
Wivu kidogo ni muhimu ktk kuboresha penzi ila unapozidi hapo ndo huzaliwa Gubu, kwani mara atakuwa anahisi kama we unamdharau, humpendi, humheshimu na mengine mengi ili mradi tu kujipa unyonge wa hiari.
Sijambo binti kiziwi.... hebu twende PM tukatongozane bila wivu