Kuna Wanawake usipowaingiza 'utumwani kwa kuwafokea na kukagua simu na vibao na kuwa controling ' hawaamini kuwa wanapendwa
unaonekana unawivu sana?
Kuna Wanawake usipowaingiza 'utumwani kwa kuwafokea na kukagua simu na vibao na kuwa controling ' hawaamini kuwa wanapendwa
Naenjoy huo wivu, kufatiliwa fatiliwa, nikitoka simu kila saa "vipi mbona haurudi, kwani upo wapi mbona pako kimya hivyo" yani ni usumbufu kama nipo bar hata zanzi naona haimezeki mi naona raha....
Boss tafadhali kwa mwendo huo wa alikuwa wapi? alikuwa na nani? hata kama alikuwa hana nia ya kukusaliti ataanza tabia mbaya, wivu tuwe nao ila usiwe wivu mkali.
Pole sana Bi Dada, sema naye kwa upendo na taratibu.
Not true at all.
bora useme wewe.... mbona sie hatuoneani wivu!!!