Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,901
- 3,705
Kuku napenda lakini nikila kike kitako chake hamu yote inaniisha
Tupo wengi..me sikigusi kabisaaa. kina harufu kama ya kinyesi cha kuku.
Kuku napenda lakini nikila kike kitako chake hamu yote inaniisha
Ukipenda waweza kula sio mbaya tukwanini ngozi iondolewe MziziMkavu?
Penda sana kidungusi kile cha nyuma..yaani kuna mafuta safiiii
Mmh kile cha nyuma???
je utumbo utakula kweli..Tupo wengi..me sikigusi kabisaaa. kina harufu kama ya kinyesi cha kuku.
Kuku napenda lakini nikila kike kitako chake hamu yote inaniisha
Kwani kula kitako lazima jamani? Kitako kitamu asikwambie mtu!
Kuku napenda lakini nikila kike kitako chake hamu yote inaniisha