Kuku wa kukaanga aliyelowekwa kwenye viungo

Penda sana kidungusi kile cha nyuma..yaani kuna mafuta safiiii
 
ndetichia Utumbo nakula sanaaa...kuna chimbo hilo huwa wanautengeneza vizuri na pilipili tamuu...plus viazi mbatata vilochemshwa...! Wala haunuki...ila kile kidude kimenishinda....
 
Last edited by a moderator:
Leo ndio nipo humu,hili pishi acha kabisa,pembeni plantee za kukaanga na juice ya embe.Nikishukuru MziziMkavu na JF.
 
Last edited by a moderator:
Mbona makalio ya kuku yakikaangwa yanakuwa matamu,kuku si huoshwa kabla ya kupikwa.santeeeee MziziMkavu,kwa hili somo.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom