Kuku wa kienyeji.

Kuku wa kienyeji.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Wakati mwingine mtu unaona haya magubegube ya hapa town sio wife material, unakimbilia kijijini kujichagulia kigori wa kuishi nacho maisha yako yote lakini kinavyobadilika unahisi kama ulilaaniwa usioe, binti unamtongoza umeshikiria mkono ili asikuponyoke akakimbia ila akifika town akakaa kidogo akijifunza kupaka mapodaa anakuwa balaa,
Bora tu tukomae na hawa wa huku mjini kuliko wa kijijini.
 
sawa. endelea kukomaa.....!!
kuna lingine?
 
^^
unahitaji baraka za Mungu kumpata anaekufaa, ama sivyo mvua ya mabadiliko ujue namna ya kujikinga
:rain:
^^
 
mke popote. hao wakijijin huwa ni ma pretenda wakija na wenyewe wanataka waonekane wa mjini.
unakuwa umewaletea akina papaa tena ukizingatia kifuan ana miiba(milk ipo standing)
 
Ni maombi tu na muda! Otherwise kote ni majanga na neema.
 
Nani alikuambia mke mwema anatokea kijijini? Hukuwahi kusoma hadithi kwamba mkwe mwema anatoka kwa bwana? Kama jibu ndio subiri mwanamke aliyekwisha kuwa na bwana aachike ndipo utimize maandiko!
 
Usimlaumu mwanamke ila jilaume wewe kwa kutokumshirikisha Mungu. Kila mwanadamu amepangiwa mtu wake isipokuwa wengi wetu tunatumia tamaa zetu zaidi ubinadamu mwingi. Muombe Mungu naye atakupa sawasawa na wewe ulivyo.
 
mwanamke bora hupatikana popote pale sio mjini wala kijijini..inategemea tu na tabia ya mtu husika...ila dah wa mjini wanaafadhali kidogo maana wanajua kutafuta..wakijijini nao mh..wepesi kudanganyika...
 
Akili ikosayo maarifa lazima itapetape...
 
Oeni kwa mkataba yakikushida unapiga chini vikienda vema una renew. Kama unafunga pingu za maisha ambazo hazina funguo unategemea nini. kuoa nakuolewa hutokea by chance na wengi huangalia sura, kipato na elimu halafu wanasingiziwa wamepewa na Mungu. hata kabla ya kuja kwa hizi dini watu walikuwa wakioa na kuolewa nawaliishi muda wate. tangu tuje na mapingu ya wazungu na mapete na mashela ndoa zimekuwa kizungumkuti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom