Kuku kuchi hawa ni original?

ally salu

Member
Nov 19, 2019
55
72
Habari wana JF,

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana kuhusu kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Nimefanikiwa kuwapata kuku hawa, kwa wale wenye uzoefu na kuku hawa naomba mnisaidie je ni wenyewe kweli au nimepigwa?

Screenshot_20191225-105105.jpeg
 
Hawa kuku kaka asili yake Mimi siijui kama ni njee au vip ila ninacho kifahamu ni sifa za kuku wenyewe. mfano wanakua na mdomo mfupi kama wa kasuku hawana viremba,hawana manyoya.

Ila anaweza kuwa na sifa zote akawa ni fake. Kwa wafugaji na wanao wanunua wanawajua zaidi Mimi sina uzoefu nao ila nimewanunua kutokana na sifa nilizopewa. Asnte.
 
hapo unaposema wa kienyeji unamaanisha nini? maana kama asili yake ni nje (kama ninavyosikia) basi sio wa kienyeji tena.
Nieleweshe ndugu naweza kuwa nimechanganya tu ila maana yangu ni kuku wa kiasili
 
Sifa zao kuu ni zipi mkuu yaani wanataga mayai sana au ni kuku wa nyama?
Hawa kuku kaka asili yake Mimi siijui kama ni njee au vip ila ninacho kifahamu ni sifa za kuku wenyewe. mfano wanakua na mdomo mfupi kama wa kasuku hawana viremba,hawana manyoya. Ila anaweza kuwa na sifa zote akawa ni fake. Kwa wafugaji na wanao wanunua wanawajua zaidi Mimi sina uzoefu nao ila nimewanunua kutokana na sifa nilizopewa. Asnte.
 
Kuku wetu wa asili nina imani unawafahamu, utakutana nao kila mahali.

Hao unaowataja hapo Kuchi hawana asili ya Tanzania, 'nasikia' asili yake ni India.
Sawa nakubali asili yake inaweza kuwa ni India lakini sasa kwa hapa kwetu Tanzania wanapatikana au Hawapo kabisa.
 
Katika vitu nisivyovipenda ni pamoja na hawa kuchi.
Yaani unakuta kijogoo cha kuchi eti kinauzwa laki mbili, unajiuliza nyama yake ina tv ndani?.

Ila ndugu huyo ni kuchi sema ameshazeeka, na akitokea anaemtaka utamuuzia laki na nusu na wewe utaenda kununua majogoo saba makubwa kwa elfu ishirini, pia sio vibaya ukiamua kumla. Ila utambue ukimla ni sawa na umekula mbuzi. Kupanga ni kuchagua na uamuzi ni wako

MATAGA
 
Me napenda kujua wana kipi cha ziada tofauti na hawa wa kienyeji tulio wazoea.
Utagaji
Ukuaji.
Umbo (uzito)
Ladha
N.k.

Nashindwaga kuelewa kipi kinawapa uspecial. Au ni huo utolu wao?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa kaka bora azeeke mpaka ashindwe kutembea akae kabisa ndo ataliwa. maana ukiwafata wanao wafuga ununue yai 1 ni elfu kumi kifaranga cha wiki 3 ni elf50 na anaongea mara moja tu.

Kingine niwachoyo wa masoko na connection ila mimi nimewapenda ni wafuge tu mpaka nione mwisho wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me napenda kujua wana kipi cha ziada tofauti na hawa wa kienyeji tulio wazoea.
Utagaji
Ukuaji.
Umbo (uzito)
Ladha
N.k.

Nashindwaga kuelewa kipi kinawapa uspecial. Au ni huo utolu wao?
Kama nilivyosema mwanzo tukipata mtu anayewajua zaidi kupita kiasi atatoa ucafanuzi mzuri zaidi. Ila chafaida chenye utofauti na kuku wengine. Hawapatwi naagonjwa hovyo. Nyama yake inavimba kupita maelezo. Kingine nachokijua ata akiwa mdogo anauzito wa ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom