Kichapo cha Bao 6 kwa 1 walichopata Man United, kimewafanya mashabiki wa Man U Duniani wahahe kutafuta kila kisingizio cha kichapo hicho. Kuku huyu mashabiki wamedai alikuwepo kwenye Benchi la washabiki wa Man City maeneo ya Manzese kwa mfuga mbwa. alileta tafrani ya aina yake maeneo hayo, mpaka wana usalama walipofika na kuituliza tafrani hiyo.
Unajua kwa nini wanalonga sana?? Hahahahaaaa! Wanaujua vizuri mziki wa man u, na wengine wanatumia reference ya man city kujifariji huku kimoyo moyo wanaomba wasikutane na babu fergie!!
Unajua kwa nini wanalonga sana?? Hahahahaaaa! Wanaujua vizuri mziki wa man u, na wengine wanatumia reference ya man city kujifariji huku kimoyo moyo wanaomba wasikutane na babu fergie!!