kuku bei chee wa ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuku bei chee wa ukweli

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by estlovie, Jun 15, 2012.

 1. estlovie

  estlovie Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  za leo wana JF ,nawatakia friday njema....kuna kuku wanapatikana kwa bei ya shl 11,000,.wale wa kienyeji ila wanafungwa ndani kwa atakaetaka anipigie kwa no 0716 474435...ukitaka wanyonyolewe charge itaongezeka 500,karibu mwana JF upate mlo fresh na wa uhakika....,
   
 2. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  unapatikana wapi toa mawasiliano ya uhakika, pia uzito wa kuku kiasi gani
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Alitakiwa aseme yuko wapi, na kama ana mahali nje ya shamba lake anakoweza kutuelekeza ili tukafuate huko. Be careful, kuleta wateja shambani kiholela kunaweza kukuletea vibaka.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,032
  Likes Received: 23,781
  Trophy Points: 280
  Swali la msingi, wengine tuko Sudan ya Kusini huku afu waweza kuta mtoa mada yuko Msumbiji.:nono: Afu hiyo avatar yako na location yako.... ngoja nikuPM
   
Loading...