Kuku Akimpanda Kanga Nini Kitazaliwa?

Kuku Akimpanda Kanga Nini Kitazaliwa?

Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu
Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria.

Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina gani watazaliwa?

Sitaki kabisa kuamini kabisa maneno ya jirani yangu kuwa kuna uwezekano
akatotoa Nyoka, najua haiwezekani.
Atatotolewa Kitenga wax
 
Sijawahi kuona hiyo kitu. Unajua kila viumbe wako defined na number of chromosomes. Hizi zinaitwa hereditary materials ambazo zinapatikana kwenye nucleus of a cell.
Sasa kwa mfano binadam tuna 46 number of chromosomes. 23 from a female and 23 from a male. Kwa hiyo tunapojamiiana baba anatoa chromosomes 23 na mama pia anatoa chromosomes 23. Kwa kuwa number of chromosomes zinalingana, a pairing of genes is made possible...
Sasa inapotokea kiumbe kama kuku lets say ana chromosomes 9 na kanga ana chromosomes 10 wanapojamiiana pairing of genes inakuwa impossible na hivyo hiyo mating haiwezi kuproduce a zygote!
Good hii ni scientific analysis..! Mbwa wanapiga pumbu wadada wa kizungu na kumwaga mbegu karibu kikombe kizima ila wamama hawawezi pata mimba..
 
Huyo kanga wako atakuwa na matatizo ya akili,si bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom