Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,367
2,000
Kumbe huku mtaani tunatandikwa vibaya nilinunua mayai kutotoleshaeeh bana eeh vifaranga vimetoka vizuri tu ila havikui vipo vilevile
Uzao wa kwanza ni ngumu mno kupata kwa kuku chotara - huku mtaani ni vurugu tupu na ndiyo maana kuku wanapata magonjwa ambayo kuyatibu ni kitendawili.

Kuku ambao huwezi kuwachezea chezea ni wale wa mayai tu - wale ni lazima wawe F1 na hawana uzazi.
 

Rion Jr

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
222
250
Yaaan humu mtadanganya Sana kuhusu hizo generation za kuku ila ukioona kuku akui ujue huyooo ni hata F10
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,397
2,000
ana maanisha fertile One yeye anaita F0, ambayo ndiyo F1.
F1 maana yake ni Filial (generation) 1 kama sikosei. Ni terminology ya breeding.

Mfano unao wazee Mama na Baba = Parents
Mtoto = F1 . Mtoto akioa/olewa na akipata mtoto (mjukuu) atakuwa F2.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom