Bado nasubiri...nani kati yetu atakuwa wa kwanza kukubali kukwazika na mikosoo ya watu!!!! Manake binadamu bana...tu ma hodari sana wa kuona kasoro za wengine.
Ruta sikuchukii. . . sina sababu ya kufanya hivyo.Ila napokua sikubaliani na inachosema ntasema na kuelezea kwanini sikubaliani na wewe.Pole kwa kuona kwamba kwa kufanya hivyo hua naongozwa na chuki. . . .I DON'T.Naongozwa na kile nnachoamini.mimi naona unavyonishambulia kama vile wanichukia.......................msema kweli ni kipenzi cha Mungu............lakini ni adui wa mwanadamu pia............................ukweli ni kuwa kukosoa itategemea na jinsi unavyomkosoa mwenzio...................kuna mahali hata umediriki kusema ya kuwa umeamua kuwa ....."mkali kidogo" kwa umombo........hata nimesahau................something like "sarcastic".................hivi hata huyo unayemkosoa lengo kweli ni kumsaidia au kumdhalilisha kwa kumuumbua..................but I love you dear because if i do not the love of CHRIST is not in me........................
Hauko serious wewe....next in line please.
Nimetoa changamoto watu ambao hukwazika pale wakosolewapo wajitaje na mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitaja. Sasa kweli ina maana sisi wote tuliochangia humu huwa hatukwaziki jamani?
Au ndo yaleyale ya nyani (no pun intended) haoni kundule?
Ruta keshafungua dimba ...au sijamsoma vizuri?
Unataka niwe siriaz kivipi, huwa natoa povu sana.
Huwa naona kanidharau sana, jamani msiendelee kunikosoa kama mnataka niwapende.
Ruta keshafungua dimba ...au sijamsoma vizuri?
Hehehhe. . . mi hua sipendi kabisa.Ukonikosoa umetangaza vita.
Hatuna lazima hiyo
Dah!! Hapa Ruta sijakuelewa kabisa...mimi naona unavyonishambulia kama vile wanichukia.......................msema kweli ni kipenzi cha Mungu............lakini ni adui wa mwanadamu pia............................ukweli ni kuwa kukosoa itategemea na jinsi unavyomkosoa mwenzio...................kuna mahali hata umediriki kusema ya kuwa umeamua kuwa ....."mkali kidogo" kwa umombo........hata nimesahau................something like "sarcastic".................hivi hata huyo unayemkosoa lengo kweli ni kumsaidia au kumdhalilisha kwa kumuumbua..................but I love you dear because if i do not the love of CHRIST is not in me........................
Dah!! Hapa Ruta sijakuelewa kabisa...
upo wewe mkuu wewe ni mfano wa kuigwa hapa bongo huna ubishi wa kiboya boya mkuu
Aisee nimerudia kusoma na sijaona kama kafunguka. Au labda sijamwelewa....
Kweli aisee ila sababu tushajua watu hawapendi kukosolewa au wanajisikia vibaya wanapokoselewa, tujitahidi kutumia namna nzuri ya kumrekebisha mtu ili asijisikie vibaya.
Serikali gani hiyo!? Kama ni hii hii ya Tanzania, sioni hasaraUsipopendwa na mimi ni sawa na kutopendwa na serikali. Hasara yako
Is he delivering that message to someone au labda mimi na wewe NN uelewa wetu ndio sio mzuri.Daah afadhali bana..maana nilishaanza kujidhania labda mimi IQ yangu haijavuka vidato!