Kukosolewa. . . .

Ila sasa kuna wengine wao ni ubishi tu...na chuki binafsi...yaani yeye anataka kukosoa tu kila uchaokifanya...hawezi kukuunga mkono kwa lolote hata liwe jema kiasi gani...yeye ni kukosoa koso koso koso tu..bila hata kujali anakosoa kwa nini...hawa nao wananikeraga sana...kosoa kwa kutoa maoni yako kwamba iweje sasa badala ya hivi...sio unakosoa tu afu ukimuuliza wewe ungefanyaje hana la kujibu...yaani ilimradi na yeye kakosoa...! kha!!??
 
Sasa nipotezee kwa kutokukosoa na kukubaliana na kitu ambacho naona sio?Sidhani kama huo ni ujanja.Wao ndio wazoee kupingwa na kukosolewa bila kuchukulia personal.

ai Lizzy, kwani uko hapa kubembelezana na mtu?
toa maoni yako, anayetaka akubali asiyetaka akatae, kwisha kazi
na wewe ukikosolewa kosoleka (si ndio uungwana huu?)
tuwe tunakubali kutofautiana....hatuwezi epika hilo!!!
lakini mambo ya kum'pampa' na kum'peti mtu ili 'akupende'....wayii!!!
 
Sante mkuu bht ,
Hapo kwenye red umenena cha maana sana ..
sijui kwanini wengi hupenda kujiona wako juu kuliko wengine..
Kumbe hata chekechea hawajaanza na English ya Google translate..
kumbe ni wenzangu na mie tuuuuu .. tunakula ugali na kuishia six feet under ..
 
Dont let things get on your nerve. Kabla hujalipuka toka pembeni kidogo punga upepo hata dirishani for three minutes, ukirudi utaona mambo kwa mtindo tofauti.

Speak your mind, sababu hakuna kiranja wa mtu hapa duniani.

Sasa nipotezee kwa kutokukosoa na kukubaliana na kitu ambacho naona sio?Sidhani kama huo ni ujanja.Wao ndio wazoee kupingwa na kukosolewa bila kuchukulia personal.
 
Amsaidie walau asichukie sana :]

Manake sidhani kama lipo tunaloweza fanya sisi binaadamu kumnusuru....lol

na kweli halipo la kufanya au kama lipo basi litakuwa gumu, hatuna budi kumwachia Maulana...lol
 
Sante mkuu bht ,
Hapo kwenye red umenena cha maana sana ..
sijui kwanini wengi hupenda kujiona wako juu kuliko wengine..
Kumbe hata chekechea hawajaanza na English ya Google translate..

hapo pa papo ...lol!!!

tena nikwambie muogope sana 'mnafiki' anayekusifia sifia hata ukikosea ili tu eti a WIN urafiki na wewe.
mtu 'mnafiki' ni muuaji!!!
si wote wakuchekeao wakupenda!!!!
 
ndio wanadamu walivo hupenda kunenewa mema tu...........hata pale akiwa amekosea anataka uwe upande wake umtetee hata kama unaona ni kosa na hayuko sahihi
 
Yeahhh huo nao sio ustaarabu.
Ukimkosoa mtu inabidi uwe na mawazo mbadala na sio unakosoa tu alimradi.
 
Mtu anayekosolewa halafu akakasirika, hiyo ni dalili ya mtu huyo kutojiamini.....................
Hata kama mtu anakukosoa kwa kukukatisha tamaa au kwa chuki binafsi si vyema kujenga chuki, kinachotakiwa ni kuipokea changamoto hiyo na kujipima kama kukosolewa huko kuna ukweli, na kama hakuna ukweli, basi endelea na maisha, wala huhitaji kukasirika na kula michanga au kutafuna meno, utaja jiumiza bure................
 
Lizzy we piga kitabu usiendekeze mambo ya hapa ambayo wakati mwingine yanaweza kabisa kukuacha mdomo wazi. Nakutakia mchana mwema katika kipande hicho cha dunia.

BAK naomba nikukosee
niruhhusu kwanza .. 🙂
 
Hehehehhe. . BHT bwana. . kweli sio kazi yangu kumpeti peti mtu kwa maneno ya uongo.Hata mimi sitaki anifanyie hivyo either. . anikosoe tu hata kama mwishoni hatutakubaliana kuchukua upande mmoja kika mmoja atakua ameeleweka kwanini anaamini vile anavyoamini.Ndio mwanzo wa kujifunza huo.
 
Reactions: bht
Ukiwa unatoa opinion yako kama vile unavyofikiri mara nyingi huwezi popular kwenye sehemu kama hizi

Watu wanapenda kama wakikosolewa basi kwanza kuwe na paragraph nzima ya utangulizi ambayo itampembejea kwa kutumia "darling" kidogo na "dear" nyingi kabla ya kumweleza alichokosea.

Sasa kama hiyo protocol huiwezi ndio unaona watu wanachukia.
 
hahahaaaa huo muda wa kumpembejea mtu ninao?
nipunguzie kidogo basi aisee Gee...

Lakini ulichosema kina ukweli, hata humu JF nimekiona sana tu (shurti tuanze kuombana ruhusa za kukosoana sasa)
 
He he he, dear na darling tena, hizo ntazitumia kwenye PM tu.

hahahaaaa huo muda wa kumpembejea mtu ninao?
nipunguzie kidogo basi aisee Gee...

Lakini ulichosema kina ukweli, hata humu JF nimekiona sana tu (shurti tuanze kuombana ruhusa za kukosoana sasa)

Ha ha ha saa ngapi! Mie ndio katika wale itifaki iliyotutupa mkono.

Na kusema ukweli hata wale wanaoanza na itifaki za aina hiyo huwa sisomi posts zao, maana naona "wananichelewesha"

In my head it goes "yada yada yada.....skip"
 
Hahaha. . . hiyo hata mimi naikubali.
Unabembeleza alafu ndo unakosoa ili isimuume sana . . . sawa na mtoto unavyoanza kumbeleza kwa maneno matamu kabla ya kumkanya kwa kosa alilofanya.
 
hapo pa papo ...lol!!!

tena nikwambie muogope sana 'mnafiki' anayekusifia sifia hata ukikosea ili tu eti a WIN urafiki na wewe.
mtu 'mnafiki' ni muuaji!!!
si wote wakuchekeao wakupenda!!!!

kabisa mkuu..

Ila dunia hii sasa wengi hupenda kurembwa na mapambo ya makaburi .
Nikimaanisha wengi hupenda kusifiwa hata kama wanaelewa kabisa si
ya haki. hupenda kufurahishwa nafsi pasipo..

Chukulia hapa JF..
kuna baadhi wanapenda kusifiwa sana
ukimkosoa tu basi . Je wadhani haao watakuwa hawapati
faraja hizo za kusifiwa nje ya JF? kwa hiyo wanakuja hapa kutafuta
umaarufu fulani? na kuwasifia kunawatia moyo na kuwaongezea hizo faraja..?
 
Reactions: BAK
Hahaha. . . hiyo hata mimi naikubali.
Unabembeleza alafu ndo unakosoa ili isimuume sana . . . sawa na mtoto unavyoanza kumbeleza kwa maneno matamu kabla ya kumkanya kwa kosa alilofanya.

Kumbe cha kufanya unakijua ati ......all the best 😛
 
Ha ha ha saa ngapi! Mie ndio katika wale itifaki iliyotutupa mkono.

Na kusema ukweli hata wale wanaoanza na itifaki za aina hiyo huwa sisomi posts zao, maana naona "wananichelewesha"

In my head it goes "yada yada yada.....skip"

hahahaaaa Gee 'darling'....(hebu soma huko hii post ukiskip.....hooo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…