Kukosekana kwa mh Rais Magufuli kwenye sherehe za mapinduzi

mzee wa liver

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
82,392
427,229
Ndugu wana bodi naomba kuuliza mwenye taarifa rasmi kwa nini mh rais wa jmt akuoneka kwenye sherehe za mapinduzi znz atujuze
 
Je, mama Samia alikuwepo?? Ka alikuwepo basi yatosha, Shy kulikuwa na umuhimu saana awepo. Hukumsikia akiusifia Muungano kuwa ka sio mapinduzi haya, usingelikuwepo?? Zenj asingelipewa nafwasi kuhutubia kwa kule kuna rais
 
Hii ni Mara ya kwanza tangu muungano Wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi rais wa JMT anakosekana kwenye sherehe hizi au ilishawahi kutokea huko nyuma mwenye kumbukumbu
 
Bila shaka ndo mara ya kwanza sherehe za mapnduz ya znz.zinafanyka pande zote.naona kulkua hamna sababu ya rais wa bara kwenda na ndo mana alkwenda makamu wake
 
Ndugu wana bodi naomba kuuliza mwenye taarifa rasmi kwa nini mh rais wa jmt akuoneka kwenye sherehe za mapinduzi znz atujuze
Wamekubaliana na Dr.shein kuanzia sasa hakuna haja ya kurundika viongozi woote upand mmoja,kwa kuanzia mapinduzi yamepelekwa shinyanga,na DR,Shein alituma waziri wake wa Tamisemi kuambatana na Magufuli Shinyanga
 
Hii ni Mara ya kwanza tangu muungano Wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi rais wa JMT anakosekana kwenye sherehe hizi au ilishawahi kutokea huko nyuma mwenye kumbukumbu

Mkuu;
Penye ukweli mh rais wetu huusema wala hamung'unyi maneno. Amesema, muungano utadumishwa by all means. Msiogope, Muungano wetu bado ngangari kichizi.
Ni mgawanyo tu wa wajibu. Hutubia Zenj miye nihutubie Bara, zote ni hutuba takatifu tuu jamani. Au mlikuwa na nia gani mnamtaka aende Zenj?? Rudisheni sikukuu muone ka hataenda. 26/4 mtasemaje atakapo enda huko??
 
Back
Top Bottom