mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Ndugu wana bodi naomba kuuliza mwenye taarifa rasmi kwa nini mh rais wa jmt akuoneka kwenye sherehe za mapinduzi znz atujuze
Hii ni Mara ya kwanza tangu muungano Wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi rais wa JMT anakosekana kwenye sherehe hizi au ilishawahi kutokea huko nyuma mwenye kumbukumbuJe, mama Samia alikuwepo?? Ka alikuwepo basi yatosha, Shy kulikuwa na umuhimu saana awepo. Hukumsikia akiusifia Muungano kuwa ka sio mapinduzi haya, usingelikuwepo?? Zenj asingelipewa nafwasi kuhutubia kwa kule kuna rais
Wamekubaliana na Dr.shein kuanzia sasa hakuna haja ya kurundika viongozi woote upand mmoja,kwa kuanzia mapinduzi yamepelekwa shinyanga,na DR,Shein alituma waziri wake wa Tamisemi kuambatana na Magufuli ShinyangaNdugu wana bodi naomba kuuliza mwenye taarifa rasmi kwa nini mh rais wa jmt akuoneka kwenye sherehe za mapinduzi znz atujuze
Kwenda kule kwahitaji kupanda Ndege...Na itapita juu ya Bahari...Gharama
Hii ni Mara ya kwanza tangu muungano Wa Tanganyika na Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi rais wa JMT anakosekana kwenye sherehe hizi au ilishawahi kutokea huko nyuma mwenye kumbukumbu
Mkuu ni kugawana majukumu tu!Kwa hapa namuunga mkono..haiwezekani Shein akague gwaride na magu akiwepo..hata miye nisingekubali.