Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
good analysiss....yaani kuhusu hii bandari ya bagamoyo ni kichekesho cha dunia...huwezi kuacha kuijenga bandari ya mtwara ambayo tayari ilishajijenga yenyewe na kupambana kuanza kuchimbua bandari mfu kwa matrilioni ya fedha...hii ni aibu kwa kweli...kikwete ana madhaifu sana katika hili,hii ni failure kubwa na itakayo wagharimu watanzania eternally...
na ndo maana analilia gas ipelekwe bagamoyo...stupid leader
Nadhani ulimaanisha matrilioni ya mkopo, ambayo yatalipwa kwa jasho na uchungu...