ooh kumbe wewe ni mwanamke, hebu tuambie ilitokea katika mazingira gani hiyo yakukosea njia? mlikuwa mnatumia staili gani?Hapo sasa.. ndo mtupe majibu Wanaume.
unakoseaje kwa mfano njia inaonekana tu bila shida, au kitendo kinafanyika gizani?Kama mtu hajawahi kuwaza kufanya huo ufirauni hawezi jifanya kukosea njia
AiseeNyuzi kama hizi mara nyingi hazioneshi kuonya au kukanya badala yake zinachochea tabia mbaya kila mtu anajikuta anataka kujaribu.
Huku nje mtaani watu wengi wamevurugwa Kwa kuhisi wapenzi wao wanawasaliti na si kusaliti tu bali ni kutoa penzi kinyume na maumbile.
Vijana waliokosa adabu wasiojua machungu ya ndoa wamekuwa wakijinasibu kwamba wakipata demu lazima wapige nyuma na mbele,na wenye michezo hiyo wengi wao ni wake za watu.
Ukweli ni kwamba maneno haya yanawaumiza Sana wanaume waliooa huku wao wakiwa hawajawahi kupewa hicho kitu na wake zao.
Wanawake nao dau likiwa kubwa wanarisk tu na kujikuta wanaingia kwenye huo mkumbo mbaya sana .
Ukitaka kujua hili kuwa tu na vijihela vya kubadilisha mboga utajua namaanisha nini
Dunia simama nishuke
Yani dunia iache kuzunguka jua, isimame kisa ngumbaru mmoja anaejifanya kukosea njia ili ashuke?Nyuzi kama hizi mara nyingi hazioneshi kuonya au kukanya badala yake zinachochea tabia mbaya kila mtu anajikuta anataka kujaribu.
Huku nje mtaani watu wengi wamevurugwa Kwa kuhisi wapenzi wao wanawasaliti na si kusaliti tu bali ni kutoa penzi kinyume na maumbile.
Vijana waliokosa adabu wasiojua machungu ya ndoa wamekuwa wakijinasibu kwamba wakipata demu lazima wapige nyuma na mbele,na wenye michezo hiyo wengi wao ni wake za watu.
Ukweli ni kwamba maneno haya yanawaumiza Sana wanaume waliooa huku wao wakiwa hawajawahi kupewa hicho kitu na wake zao.
Wanawake nao dau likiwa kubwa wanarisk tu na kujikuta wanaingia kwenye huo mkumbo mbaya sana .
Ukitaka kujua hili kuwa tu na vijihela vya kubadilisha mboga utajua namaanisha nini
Dunia simama nishuke
Uchumi wa dunia uliwahi kuzorota vibaya sana na dunia haikusimamaYani dunia iache kuzunguka jua isimame kisa ngumbaru mmoja anaejifanya kukosea njia ili ashuke?
Huwa nina kua na wivu mkali sana dunia inapohusishwa na mambo ya hovyo ya sisi wanyama tunaojifanya tuna akili kuliko wanyama wengine.Uchumi wa dunia uliwahi kuzorota vibaya sana na dunia haikusimama
Na ndo maana nimeileta hoja hii.Nyuzi kama hizi mara nyingi hazioneshi kuonya au kukanya badala yake zinachochea tabia mbaya kila mtu anajikuta anataka kujaribu.