Kukosea kwangu meseji, kumenifanya nimtongoze

Kukosea kwangu meseji, kumenifanya nimtongoze

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Huyu jirani yangu wa kike bwana sikuwa na lengo la kumtongoza kwa sababu zangu mwenyewe binafsi. Kuna mswahili mmoja nilimsikia akisema kuwa "Si lazima utembee nao wote, wengine waache wawe kama dada zako"

Basi huyu nikawa namfanya kama dada tu ingawa sikuwa na mazoea nae kiviiile... Leo asubuhi wakati nachat na moja katika wapenz wangu ambao wananipenda, mara ikaingia mesej ya huyu dada ikisema.

"Mzee wa kasumba samahani naomba niazime charger"

Sasa badala ya kumjibu mpenz wangu bwana nikajikuta narong mesej na inakwenda kwake,,,, mesej ilikuwa inasemakuwa "NAKUPENDA SANA" kwa bahat mbaya sikutaja jina.

Khaa chakushangaza yule dada akajibu kwa kusema nakupenda pia mdogo wangu,,,, Lakini si wajua mi mkubwa kwako utaweza?

Ohoooo nkasema moyoni nahisi kula kimasihara kunanijia,,,

Kwahiyo hapa nayaweka sawa tu katika hali ya kusawazisha, lakini jambo limesha tick.

KUKOSEA KWANGU MESEJI, KUMENIFANYA NIMTONGOZE
 
Sawa, sikuwa najua kumwambia mtu nakupenda sana ni kutongoza....
 
Huu Ushuhuda ungetakiwa uwepo kule kwenye Uzi wetu pendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom