Kukosa ustaarabu!

sasa mjini vyo vya kulipia kama huna miambili ufanyeje na umeshikwa na haja? vyoo vya umma vya bure mijini ni muhimu sana kuliko kulaumu watu wanaolazimishwa na mazingira kuonekena wendawazimu.

Ukijua una safari ya kwenda mjini na utarudi jioni hujipangi? Kua wazi kabisa: wewe ungeweza kufanya hivo?
 
vyoo ni sh 200 tu very cheap, ni wao tu staili zao na maisha yao...!!
 
sasa mjini vyo vya kulipia kama huna miambili ufanyeje na umeshikwa na haja? vyoo vya umma vya bure mijini ni muhimu sana kuliko kulaumu watu wanaolazimishwa na mazingira kuonekena wendawazimu.

bure alishakufaga, watu wakuwekee maji, wakufanyie usafi, uje ujisaidie bure?????!!!

vyoo ni sh 200 tu very cheap, ni wao tu staili zao na maisha yao...!!
 
Imenifanya nifikiri kweli hawa watoto wote waliojazana mitaani na pia na watu wazima wanaoishi mitaani kwenye mazingira magumu uwa wanamalizia wapi haja zao za mwilini........sasa naanza kupata mwanga
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
natamani ningekuwa karibu niwapopoe kwa mawe ya mugongo...wajinga sana hawa.

uwapige kwa kosa gani?iambie serekali yk ipunguze posho za wabunge na safari za raic public toilet iwe buru kwani ni hk yetu kpt huduma bl mlp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…