Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,173
- 1,463
Habar za mudaa huu wanajamvi na pole na mizunguko ya wiki nzima na huu ni muda mzur wa mapumziko ukiwa nyumban na sehem mbalimbali za kupumzik
Moja kwa moja kama kichwa cha maad yangu niombe kwa mtu ambaye amewahi kupata tatizo la kukosa radha ya chakula.kama Mimi hap na hil.tatizo.ninalo kama miez minne kwa Sasa yaan nakula kushiba lakin ile radha nilio zoea kama samaki siskii nimeenda.hosptal.nikapima wamesema nina bakteria katika damu nikapewa dawa nimetumia hola nikapewa za kushitua mfumo wa fahamu za kutumia mwez mmoja naona nazo hazina mchango ebu kwa Alie pitia hii hali naomba tusaidiane