Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Km ujakeketwa c mwambie mmeo aiweke hyo Penis hapo, huku anakufanyia maandalizi hadi pale utakapoitaji kuingiza ili umalize gemu ila usimruhusu kuingiza kabla ya kupata miamko
 
Km hisia znakuja na kupotea bs ni tatzo la kisaikolojia, coz hata mmeo Unapomuona umfurahii, hata akiitaji tendo utampatia tu coz mmeo, mwili upo lkn mawazo yko ayapo hapo Coz hata ukifanya tendo utofka. Hv yy aliwai kuingia chumvini kwko?
 
Epuka kuonge sana mambo ya maisha ukitaka au uwapo kwenye mgegedo inakataga sitimu kabisa.
 
duh pole shemeji........ ila siku mumeo akichepuka utapata hamu tuu.....
 
Mdada wa watu ameuliza swali serious ili kupata ushauri jinsi ya kuondokana na tatizo lakini, lakini majibu mengine dah, kwani ni lazima u comment kila post? Kama hujui si unapotezea tu jamani. Ama usubiri wenye ujuzi waandike wewe usome na kujielimisha
 
Mara nyingi kukosa hamu ya tendo la ndo husababishwa na sababu kadhaa ambazo unaweza kuziweka katika makundi haya:

1. Sababu za kisaikolojia
Kuna watu wengine kwa namna isiyoelezeka au inayoelezeka hujikuta tu hawapendi kujaamiana, hapa wapo pia wale walioumizwa hisia zao pengine kwa kubakwa au kulawitiwa nyakati fulani za maisha yao (waliopitia au kushuhudia unyanyasaji wa kijinsia).

2. Sababu za kimaumbile
Pengine mumeo ana uume mkubwa, au wewe una uke mdogo kiasi unaumia kila ukikutana na mumeo au lah uke wako hautoi majimaji lainishi ya kutosha.

3. Sababu za vichocheo
Upungufu wa kiwango cha hormones chokozi kwa ajili ya kuamsha hisia za ngono katika ubongo, na mifumo mingineyo.

4. Sababu za kiroho
Wapo watu ambao wanakuwa possesed na roho chafu ambazo ama huwageuza wake au waume zao na kuwatumikisha kingono

5. Sababu nyinginezo
Hapa inawezakuwa ukosefu wa ufundi na upunifu toka kwa mwenzi wako kiasi cha kukinaika, uchovu wa mwili na akili kutokana na mfululizo wa shughuli za kimwili za siku nzima n.k
 
Habari za mchana wana jf,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, Nipo kwenye ndoa tayari, ila mara nyingi sana sina hamu kabisa na tendo la ndoa (hisia za kufanya tendo)

je, hii husababishwa na nini na nifanyeje ili nami nifurahie tendo
natanguliza shukrani
Una tatizo la kujichokonoa yaani kupiga puli au kua na wapenzi wengi wanaokupelekea kuona kawaida sana kwa mumeo na kukosa msisimko.kama ndivyo fanya hivi

1. Acha mchezo mchafu wa kupiga puli

2. Kaa na mwanaume mmoja tu,itakupelekea kumuona ni mpya karibu kila siku.sambamba na hilo tengeneza akili yako vizuri kuyakubali mapenzi utakapokua faragha na mwenzi wako

3. Hapa ndo mwisho kabisa,chukua kitunguu swaumu na umenye vile vipunje vinane na kuvikatakata viwe vidogo vidogo,meza hizo punje za kitunguu swaumu na glass ya maji asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja bila kupoteza siku hata moja na ndani ya wiki mbili mpaka tatu utaona mabadiliko japo endelea mpaka mwezi mzima kisha urudi hapa kuniambia nini kimetokea.

4. Kama itashindikana kwa hili tafuta mtumishi wa MUNGU unaemuamini kua ni msafi akufanyie toba na maombi, mchungaji/Imam/shehe au kiongozi wa budha.kulingana na imani yako.

N.B acha dhambi
 
Hujakutana na katerero wewe..ila siku akiifanya hiyo hiyo hali itaisha yote sawa dada
 
Pole sana,ila mzee mpe tuu kiutu uzima hamu zikujia tuu as the time goes on...
 
Una tatizo la kujichokonoa yaani kupiga puli au kua na wapenzi wengi wanaokupelekea kuona kawaida sana kwa mumeo na kukosa msisimko.kama ndivyo fanya hivi

1. Acha mchezo mchafu wa kupiga puli

2. Kaa na mwanaume mmoja tu,itakupelekea kumuona ni mpya karibu kila siku.sambamba na hilo tengeneza akili yako vizuri kuyakubali mapenzi utakapokua faragha na mwenzi wako

3. Hapa ndo mwisho kabisa,chukua kitunguu swaumu na umenye vile vipunje vinane na kuvikatakata viwe vidogo vidogo,meza hizo punje za kitunguu swaumu na glass ya maji asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja bila kupoteza siku hata moja na ndani ya wiki mbili mpaka tatu utaona mabadiliko japo endelea mpaka mwezi mzima kisha urudi hapa kuniambia nini kimetokea.

4. Kama itashindikana kwa hili tafuta mtumishi wa MUNGU unaemuamini kua ni msafi akufanyie toba na maombi, mchungaji/Imam/shehe au kiongozi wa budha.kulingana na imani yako.

N.B acha dhambi
Nashukuru mpendwa hyo no tatu nitajitahid kuiaply ila 1.&2 kwa kweli Mungu akusamehe,kwa kunichulia mi ni mke wa mme mmoja tu na hizo habar za puli celew hata ni kitu gan
 
Habari za mchana wana jf,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, Nipo kwenye ndoa tayari, ila mara nyingi sana sina hamu kabisa na tendo la ndoa (hisia za kufanya tendo)

je, hii husababishwa na nini na nifanyeje ili nami nifurahie tendo
natanguliza shukrani
Pole sana vp umejaribu kwenda kwa wataalam wa saikologia ,,utapata ufumbuz
 
Nashukuru mpendwa hyo no tatu nitajitahid kuiaply ila 1.&2 kwa kweli Mungu akusamehe,kwa kunichulia mi ni mke wa mme mmoja tu na hizo habar za puli celew hata ni kitu gan
Nimekupa sababu zinazo sababisha.ndo mana nikasema kama hivyo ndivyo fanya hayo niliyosema
 
Pole sana kwa tatizo hilo binti wewe ningependa nijue mumeo huwa anakuchezea sehem 7 za mwanamke asipo sisimuka hizo sehem basi utakuwa na tatizo katika mwili wako
 
Pole sana kwa tatizo hilo binti wewe ningependa nijue mumeo huwa anakuchezea sehem 7 za mwanamke asipo sisimuka hizo sehem basi utakuwa na tatizo katika mwili wako
Msaidie mpe elimu ni sehemu zipi hizo ili kama si hivyo basi amshauli mumewe awe anampeti peti vili apate ashki
 
Mimi mwenyewe nna tatizo kama lako lakini limetokea kipindi hiki ambacho nna ujauzito.
 
Inawezekana mumeo hakufanyii maandalizi ya kutosha kabla ya tendo hilo.jitahidi awe na muda wa kutosha ili ufurahie maisha yako vinginevyo utaona Kama ni adhabu tu kwako.ila pia jaribu kuonana na Daktari wa akina mama kwa msaada ila baki na ndoa yako usithubutu kutoka nje .Ushauri Mwingine haufai.
 
Tunaweza tukawasiliana kwa ushauli zaidi?
Mara nyingine una roho nyingine, unahitaji kuombewa ili ufunguliwe
Utajuaje! Kama unapolala unaota unafanya ngono mwanamke/ mwanamke kwenye ndoto. Mtafute mtumishi anamjua Mungu.
 
Back
Top Bottom