Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

HAYA MATATIZO MENGI YANATOKANA NA AINA YA MAISHA YAANI ULAJI WETU WA VYAKULA , TANGU SHAMBANI VYAKULA TUNAVYOKULA VINAWEKWA MBOLEA NA BADALA YAKE SUMU ZOTE HADI ZA ULAJI WA CHIPS ZA MAFUTA YA TRANSFORMER YOTE TUNAKULA KTK MIILI YETU NA TUNAZITUNZA

NA MUHIMU KULIKO VYOTE HATUPATI "SUPERFOODS" MFANO MACA, ROYAL JELLY HUKO PERU HIVI VITU WANAKULA KUANZIA WATOTO WADOGO WENYE UMRI WA MIAKA MI3 NA WANAISHI VYEMA ... SASA INALETA MSONGO WA MAWAZO NA SI WANAWAKE TU HATA WANAUME NDIYO MAANA VIBAO VYA NGUVU ZA KIUME VIMEONGEZEKA , NINA SOLUTION YA KUWASAIDIA WATU WENYE HII CHANGAMOTO AMBAYO ITAWAFANYA WAFURAHIE NDOA NA MAISHA YAO YOTE HADI WAKIWA VIKONGWE NA KUEPUSHA KERO YA KUSUKUMWA HUKO KWA KITANDA LABDA UNICHEKI INBOX AU WHATSSUP KWA SERIOUS PEOPLE TU WHATSSUP OR CALL+255 653660669
 
N
habari yako,

pole sana, hilo tatizo lipo kwa wadada wengi. japo si mtaalamu but kuna makala moja hope pia itakusaidia ukiisoma

ZIFAHAMU SABABU KUU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA NA MATIBABU YAKE… | SIRI ZA AFYA BORA

pia soma hapa


VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA HARAKA KWA MWANAMKE

Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake.

Japokuwa hisia za mwanamke zipo mbali mno lakini kama mwanaume atamshikashika pande tofautitofauti za mwili wake na kumletea utundu wa hapa na pale basi hisia huja na akajiskia ni mwenye kuhitaji tendo hilo la kiutu uzima na akaweza ipasavyo.

Kama na wewe ni mmojawapo kati ya wahanga wa tatizo hilo nakushauri tumia dawa hizi zenye kupatikana kiurahisi kabisa katika mazingira yetu kwani ni zenye kusaidia kutibu kabisa matatizo ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake kwa haraka zaidi.

MBEGU ZA FENESI
Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva vizuri basi hamu ya kufanya tendo la ndoa zitamzidia na atakuwa ni mwenye kutamani kufanya mchezo huo kwa matamanio makubwa sana....hii ni tiba nzuri kwa wanawake wenye tatizo hili.

UJI WA ULEZI
Wanawake wanashauriwa kunywa uji wa ulezi kila siku asubuhi kwani uji huu una uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi

MUHOGO MBICHI
Imethibitishwa kwamaba kama muhogo mbichi kama utapendelewa kuliwa na mwanamke kiasi cha vipande5 pia vina uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi au tendo la ndoa kwa wanawake.

KOROSHO
Nazo zinatajwa ni nzuri sana kwa kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya tendo la ndoa akiwa ni mwenye kuzila mara kwa mara

Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa Mawasiliano bonyeza hapa.
ASHKR ILA HAPO KWENYE MBEGU ZA FENESI KAMA VILE MAELEKEZO HAYAJAELEWEKA KWA UPANDE WANGU NIFAHAMISHE VZR PLZ JE, NI MBEGU AU TUNDA? NA MATUMIZI YAPOJE?
 
Don't let the motherly duties weigh you down sugar. Jitahidi kufanya kazi zako kwa muda na upate mda wa kupumzika. Tafuta pia msaidizi wa ndani wa kukusaidia.

Pia epuka kuwa na mawazo mengi ya kimaisha. Ndio lazima tuwaze lakini chukulia kila kitu easy. Unachopitia sote tunapitia.

Vunja monotony/mazoea. Badili muonekano wa nyumba, hamisha kitanda.... badili muonekano wako binafsi... if you feel better about yourself it helps alot.

Tunapojifungua miili yetu huwa inabadilika. Go easy on yourself. You gave birth to a human being. You did a great job. How wonderful is that.

Change your diet, change your thoughts Ma. Stay positive.

Cheers. All the best.
THANX MY DEAR
 
Bikra yako ulipotolewa ulitolewa kwa kutaka mwenyeo au ulilazimishwa kwa nguvu??
 
Km ujakeketwa c mwambie mmeo aiweke hyo Penis hapo, huku anakufanyia maandalizi hadi pale utakapoitaji kuingiza ili umalize gemu ila usimruhusu kuingiza kabla ya kupata miamko
 
Back
Top Bottom