Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,409
- 5,715
- Thread starter
- #41
Usiku mara moja tu boss ikizidi mara mbili kabla ya alfajiriUsiku inakuwaje? unaweza kuamka mara ngapi kwa usiku mmoja kwa mfano ukilala saa 4 usiku
Usiku mara moja tu boss ikizidi mara mbili kabla ya alfajiriUsiku inakuwaje? unaweza kuamka mara ngapi kwa usiku mmoja kwa mfano ukilala saa 4 usiku
Ahsante dinaYap kafanye
Boss tusaidiane, ilikuwaje ukaanza kutumia dawa ni daktari alikuandikia baada ya kujua tatizo au ulienda tu pharmacy?Hii hali na mim ninayo.nimetumia madawa hadi nimeamua kutulia kwanza
Kama UTi umemeza dawa na huna kweli, na kiskali hunaUTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)
Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia sitaenda mara moja, bali mara mbili au tatu baada ya muda.
Tatizo ni nini, nisaidie
Kwwli boss, hata mimi nikipata anxiety kidogo tu mkojo huo unabana, vp walikupima kibofu??Hii hali ninayo mikojo inauma as if iko mingi sana ukienda kukojoa kidogo, lakini pia nikiwa na stress mkojo lazima ubane sana hata kama ni kidogo.
Kwa sasa nimepata nafuu baada ya kutumia dawa za uti ingawa sikushauriwa na dk kutumia dawa hizo
HapanaKwwli boss, hata mimi nikipata anxiety kidogo tu mkojo huo unabana, vp walikupima kibofu??
Nimepimwa nikakutwa na hilo tatizo la kwenye picha.kuna tatizo kwenye kibofu na njia ya mkojo.nikachoma sindano lakini wapiBoss tusaidiane, ilikuwaje ukaanza kutumia dawa ni daktari alikuandikia baada ya kujua tatizo au ulienda tu pharmacy?
Pole mkuu, Duh sasa kwa maana nini tiba ya hii issue yetu sasa ,tufanyeje?Nimepimwa nikakutwa na hilo tatizo la kwenye picha.kuna tatizo kwenye kibofu na njia ya mkojo.nikachoma sindano lakini wapiView attachment 2361886
Kama unaishi maeneo yenye baridi ni kawaidaUTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)