Kukojoa mara kwa mara baada ya kupata kinywaji

Viungo vyetu vimetofautiana. Mfano MTU mwingine anakula Milo mitatu kwa siku ila haja/choo anapata Mara moja tu. Mwingine anajisaidia Mara 3 kwa siku haja kubwa. Hii ni kwa sababu mifumo yetu ya mmeng'enyo imetofautiana kulingana na MTU na mtu. Hivyo sishauri MTU kukimbilia hospitali kisa unapata mkojo Mara 2 au 3 baada ya kinywaji. Sikilizia kwanza.

Ingekuwa nje ya nchi kama India sawa hospitali zipo advanced, sasa hizi zetu za michongo inabidi uende kwa tahadhari wasije wakakupa sawa ukaongeza tatizo jingine.
Sure mkuu, tangia hii hali inianze sijawah pata side effect yoyote kubwa. Mungu atanitangulia tu, ahsante.
 
Kwa kawaida binadamu, kibiolojia mwishoni kwenye kibofu cha mkojo kuna kitu wanaita "sphincter muscles" hii ni misuli ambayo inasaidia kushikilia mkojo usitoke hata kama umebanwa sana. Sasa ikitokea misuli hii kwa namna yoyote ile imepoteza nguvu, uwezo wa kushkilia mkojo unakua mdogo hvyo, kiasi kidogo tu cha mkojo kwenye kibofu kitapelekea ujiskie kwenda haja.

Hvyo basi, misuli hii inaweza kuimarishwa kwa kufanya mazoezi aina ya "kegel" pitia mtandaoni utaona yanafanyika vipi.

Pia unaweza ukawa unafanya simple exercise ya kustop na kuachia mkojo mara kadhaa pindi unapokua unakojoa. (Kwa wanaume)

Ngoja wajuzi zaidi waje kuongezea maarifa.
Ahsnte sana boss, ngoja nizidi kuresearch kuhusu hio misuri,

Much blessings
 
Kwa kawaida binadamu, kibiolojia mwishoni kwenye kibofu cha mkojo kuna kitu wanaita "sphincter muscles" hii ni misuli ambayo inasaidia kushikilia mkojo usitoke hata kama umebanwa sana. Sasa ikitokea misuli hii kwa namna yoyote ile imepoteza nguvu, uwezo wa kushkilia mkojo unakua mdogo hvyo, kiasi kidogo tu cha mkojo kwenye kibofu kitapelekea ujiskie kwenda haja.

Hvyo basi, misuli hii inaweza kuimarishwa kwa kufanya mazoezi aina ya "kegel" pitia mtandaoni utaona yanafanyika vipi.

Pia unaweza ukawa unafanya simple exercise ya kustop na kuachia mkojo mara kadhaa pindi unapokua unakojoa. (Kwa wanaume). Hii itasaidia kwa kiasi fulani kuimarisha misuli hii.

Ngoja wajuzi zaidi waje kuongezea maarifa.

Umeelezea vizuri hapo juu waende hospital
 
UTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)

Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia sitaenda mara moja, bali mara mbili au tatu baada ya muda.

Tatizo ni nini, nisaidie
Utakua na mimba hivyo ukinywa maji kibofu kinajaa then kunakua na mgandamizo wa kibofu kutoka kwa tumbo la mimba hivyo kibofu(sphincter muscles) kinashindwa kuzuia mkojo na inakulazimu ukakojoe
 
Hapa hakuna cha Figo imara wala nini kama wengine wanavyosema, kuwa makini na ku-monitor sukari inawezekana inakunyemelea au tezi dude.
 
Utakua na mimba hivyo ukinywa maji kibofu kinajaa then kunakua na mgandamizo wa kibofu kutoka kwa tumbo la mimba hivyo kibofu(sphincter muscles) kinashindwa kuzuia mkojo na inakulazimu ukakojoe
Ramadhan anabebaje ujauzito mkuu?
 
UTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara)

Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia sitaenda mara moja, bali mara mbili au tatu baada ya muda.

Tatizo ni nini, nisaidie
Nenda kapime Tezi dume inakuanza hiyo au una Stress.
 
Aina ya vyakula
Maeneo unayoishi
Kiwango cha unywaji

Umeyatazama hayo?
 
Back
Top Bottom