WEW ni mjumbe wa kamati ya mapokezi ya mwenge? hakikisha hao viongozi 6 wa kitaifa na wa ngazi ya mkoa,wapiga matarumbeta,askari na madereva wanalala vizuri, waoge maji ya moto na zawadi muwape. Aidha siku hiyo hutalala maana ni pilika pilika tu na kucheza mkifanya ibada ya moto(mwenge wa uhuru). Sio lazima uzini,unaweza kutulia zako pembeni au ukachomoka kwenda kulala lkn kama kweli upo kwenye kamati hakuna kulala hapo.Mwenge hauna posho zaidi wew unatakiwa kuchangia pesa yako mfukoni sehemu zingine ni 5,000/= mpk 50,000/= kulingana na cheo chako.Mwenye ni wa kitaifa,mwenye huo unamwakilisha Mh. Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.