Kukesha Mbio za Mwenge, nipeni ushauri na uzoefu

Kukesha Mbio za Mwenge, nipeni ushauri na uzoefu

Duuuuuuu
FANYA IBADA SANA MUOMBE MUNGU KABLA YAKUANZA KUSHIRIKI, ULE MOTO SI MZURI UMENUIZWA MANENO NA MABABU ZETU.

JITAHIDI KUKWEPA KUHUSHIKA AU KUTOA HESHEMA LIES WANYUMANYUMA VITENDO VINGI VIKWEPE.[/QUOTEDuuuuuuuhhh
 
Ngoja wakina ....[HASHTAG]#cocochenel[/HASHTAG] waje wakupe uzoefu wa mbio za Mwenge!

Ova
 
Watu wanasema mwenge unapokesha kuna ngono hufanyika nauliza hizo ngono hufanyikia wapi kuna siku nilikesha na mwenge pale TANGA mkwakwani sikuona watu wa kibanduana.

Je isije kuwa kasumba tu ya watu kujitungiatungia hayo mambo .

Kwa aliyeshuhudia kwenye mkesha wa mwenge watu wakibanduana atoe ushuhuda hapa.

Hata hivyo lile dubwasha nashauri lifutwe halinaga maana.
 
Ni uzushi tu mkuu, kubanduana watu wanabanduana siku zote hawasubiri mwenge
 
Wadau poleni sana mihangaiko ya siku. Niende kwenye mada hapo juu, nipo kwenye kamati ya Mapokezi ya Mwenge mwishoni mwa mwez wa saba ktk wilaya Fulani hapa nchini. Sifagilii sana hili jambo ila imebidi niitikie wito kutokana na mambo yaliyo juu ya uwezo wangu. Sasa kwa kuwa ni mwanakamati natakiwa pia kukesha na Mwenge huo wa UHURU. Mi sijawahi kushiriki tukio kama hili wala kuuona Mwenge wenyewe. Hivyo naombeni ushauri wenu juu ya tukio hili lijalo maana naambiwa niwe making sana maana Mwenge ni tukio la kitaifa na hauna mzaha. Kama huna ushauri plz usinidhihaki.
Bila Shaka wewe ni mtumishi mpya wa halmashauri moja wapo ndani ya Mkoa wa Kagera, sina shaka kuwa upo halmashauri ya wilaya ya Biharamulo.

Kamati ya mapokezi kazi yenu kubwa ni kufanya logistics za malazi ya wakimbiza mwenge Kitaifa,kimkoa na wageni wengine,

Mtahusika na kuwavisha skaf wakimbiza mwenge kitaifa

Mtahusika na kufanya manunuzi ya vifaa muhimu kwa ajili ya wageni wa kitaifa na kuwapelekea kwenye hotel yao.

Unapaswa uwe smart, kuwa na bashasha na kuwapokea wageni vizuri.

Kwenye mkesha hakuna mambo makubwa zaidi ya burudani tu mpaka majogoo.

Kuwa mzalendo, shiriki kikamilifu kuukimbiza mwenge wetu wa uhuru wenye kauli mbiu ya shiriki kikamilifu Ktk uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya uchumi wetu.

Mwenge oyeeee!!
 
Wewe ni mtanzania kweli?

unachaguliwaje kukeshea kitu ambacho hujawahi hata kukiona.

Kuwa makini sana siku hiyo usije ukadhani mwenge ni koroboi , ukajaribu kuuzima.
Unaweza ukapoteza ajira yako.
 
Kakeshe tu ndg huna namna kinyume na hapo uandae maelezo yatakayoeleweka
 
Wadau poleni sana mihangaiko ya siku. Niende kwenye mada hapo juu, nipo kwenye kamati ya Mapokezi ya Mwenge mwishoni mwa mwez wa saba ktk wilaya Fulani hapa nchini. Sifagilii sana hili jambo ila imebidi niitikie wito kutokana na mambo yaliyo juu ya uwezo wangu. Sasa kwa kuwa ni mwanakamati natakiwa pia kukesha na Mwenge huo wa UHURU. Mi sijawahi kushiriki tukio kama hili wala kuuona Mwenge wenyewe. Hivyo naombeni ushauri wenu juu ya tukio hili lijalo maana naambiwa niwe making sana maana Mwenge ni tukio la kitaifa na hauna mzaha. Kama huna ushauri plz usinidhihaki.
Ndo umekuja kulalamika huku hata kma umetumia ID feki nimeshakujua sibiri zoezi lipte utapambana na kmti ya ulinzi na usalma ya wilaya nakushauri usiache kuja vinginevyo utahamia KIBITI
 
Back
Top Bottom