Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 901
Boss mwanamwana Hivi Watendaji wa Jamhuri na Serikali ni kuwa hawajui wajibu wao ??? !!!
Ni uhaba wa fedha, Mbona Rais anasema fedha zinatoka??? Wanalipwa Mishahara ????
Yaani Mpaka Rais atoke Dar aje eneo la Tukio ndio mambo yaende ???
Yaani kuna wakati Tunamwonea tu Rais, Mimi naamini ukiacha Changamoto za Rais, kuna mambo yanatia hasira.
Mimi naamini kila Mwananchi na Mtanzania akifanya Majukumu yake ipasavyo, tutafika mbali,
Siongelei Changamoto za Mwanadamu na U Chama.

Wakuu,
Nipo nasikiliza hapa redio na imehabarisha kwamba kutokana na daraja la Kiyegeya linalounganisha kati ya Morogoro na Dodoma kusombwa tena na maji, mzee baba kaamua kwenda mwenyewe kujua mbivu na mbichi. Amenukuliwa akisema kwamba kwa wahusika wote wajihesabu hawana kazi na ameitaka TANROADS kuhakikisha hakuna barabara inayounganisha kati ya mkoa na mkoa,mji na mji ikisombwa na maji kwa namna yoyote.
Nitaendelea kusasisha kutokana na taarifa ninavyozipata.
Pia soma
Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara
Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani
Mawasiliano kati ya Dodoma na Morogoro yamekatika tena
UPDATE
Rais Magufuli awasimamisha kazi wahandisi 12 wa TANROADS Morogoro na kuwapa onyo la mwisho Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isack Kamwelwe, Mtendaji Mkuu TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale na Mkurugenzi wa matengenezo wa wakala huo kwa uzembe daraja la Kiegeya.