Kukataliwa kwa udahiIi 2019/2020

Kukataliwa kwa udahiIi 2019/2020

Nirudie mara ya pili! Maana tayari nilivyo apply ndo nikapata ile notice.. Kwahiyo nimeshamaliza taratibu za tcu .. Sasa una maanisha ni apply tena au
Mkuu nachojua ni kwamba ukishatuma maombi ukaletewa hiyo notice uliyoambatanisha kwenye uzi wako ujue maombi yamefika na ili yaweze kufanyiwa kazi ndo ulipaswa kufanya hivyo ulivyofanya kwenda kuchukua barua kupeleka TCU hiyo barua ndo kama uthibitisho kwamba wewe sio mwanafunzi wa kile chuo ulichopangwa awali baada ya kujiridhisha wanakutoa kwenye system ili wafanyie kazi maombi ambayo awali ulituma ukaambiwa hayawezi kufanyiwa kazi pasipo kupeleka barua
 
NAONA IMESHAJI UPDATE YENYEWE AUTOMATICALLY MESSAGE IMEBADILIKA PRIOR STATUS IMEONDOKA, ASANTENI WOTE MLIONISHAURI.. .
 
Back
Top Bottom