Sales93
Senior Member
- Mar 5, 2014
- 146
- 73
Habari zenu wanajamvi, naombeni msaada kidogo.
Je nikitaka kufanya application kwenye baraza la ardhi na nyumba (wilaya) ya stay of execution as well as extension of time to set aside exparte judment natumia sheria zipi, nitashukuru mkinisaidia na vifungu.