Kukata kiuno

Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?

Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".

Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.

hahaha mkuu zomba naona umeamua umwage mboga kabisa baeleze bana!
 
Weeee! Mambo yetu ya kino clain ngoma inachezwa juuu juuu no godoro kuumia!!!!!! Ukipata mabo kama haya lazima ukabidhi kadi ya bank na hati ya nyumba. Kama volleyball mpira unachezewa juu kwa juu!!!!!!!!!!!!!! Tuacheni wa pwani wa bara mtavunjika migongo bureeeeeeee!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
kuna pointi ya msingi sana hapa umeisema

sijui kama kuna mwingine kaiona

salute!

Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?

Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".

Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.
 
Kuna mahali nilikuta comment kuwa wanaume wanene (sana labda, sijuhi) wanawalowesha wanawake wao kwa majasho. Nilicheka sana.

Hii mada imenifanya nijiulize ...je wanaume vibonge nao wanakatika? Au ndio maana wanapenda vi portable ili wao watulie wakati wadada wanageuka madereva.

Je kukiwa na couple vibonge kwa vibonge inakuwaje sasa? Ndo maana wadada wanene nao wanapenda wanaume wembambaaaaaa.

Mnene kwa mnene mnaweza kuchoka kabla ya mechi kuisha (dk 90)i..mkatoka bila bila.Lol.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Jamani demu wangu anakata kiuno ni balaa, mwanzo mwisho mie nikapiga bao tatu yeye saba! Yaani anaona wengine walikuwa wanamzingua tuuuuuuuuu!
 
Kuna mahali nilikuta comment kuwa wanaume wanene (sana labda, sijuhi) wanawalowesha wanawake wao kwa majasho. Nilicheka sana.

Hii mada imenifanya nijiulize ...je wanaume vibonge nao wanakatika? Au ndio maana wanapenda vi portable ili wao watulie wakati wadada wanageuka madereva.

Je kukiwa na couple vibonge kwa vibonge inakuwaje sasa? Ndo maana wadada wanene nao wanapenda wanaume wembambaaaaaa.

Mnene kwa mnene mnaweza kuchoka kabla ya mechi kuisha (dk 90)i..mkatoka bila bila.Lol.

we mnene?
unayaweza?au unamuachia mzee?
 
Njoo Lizzy toa uzoefu wako, Pretta usijifiche na wewe njoo tunakutaka, Radhia sweet tupe uzoefu wa hiyo kazi maalum ambayo mwana Jf mwenzetu kauliza, First lady nasubiri mchango wako au ndo mpo busy kuvi-PM vivulana vya Lizzy?
 
Back
Top Bottom