mwl mwenzangu, kuna kitu kinaitwa step za kucheza kufuata mapigo ya ngoma yenyewe. step hizi hutolewa kufuatia aina ya uchezaji mnaoutaka. mfano ngoma ikipigwa nyingine huwa huitaj wachezaji wawili ila kila mmoja acheze kwa stail tofauti ili kuleta burudani, nyingine wote wawili wacheze kwa stail moja mara nyingi sana hizi huwa ni kama show nzuri ni zile ambazo kila mtu hucheza kwa stail ambazo ukizizingatia zimebebwa katika nadharia moja yaani ni kama vile wanakamilisha seti ya uchezaji.
haya tuwapo kitandani, ngoma inachezwa kwa namna ya kila mtu kwa stail yake ilimradi mwisho wa siku ilete seti nzima ya uchezaji. kiuno huongoza utamu sana ila na chenyewe kina jinsi yake ya kukata. ukikipeleka kama mcheza show wa twanga ni wazi kwamba utakuwa unamwondolea mwenzio stimu ama hata wewe pia. hii hutokana na ukweli kwamba wakati wa penetration kuna hisia fulan ambazo huja kwa taratibu na kua acclimatize gradually sasa hizi huwa hazipendi pupa. kiuno hukatwa kwa stail ya taratibu, kisha mdundo huongezeka kidogo kidogo wakati unamtazama mwenzio usoni na una mahal ikifika basi utaona kabisa hapa niongeze zaid ili kumkoleza na kinachotawala aina ya kiuno ni utam unaouskia wewe makatikaji.