KUKANA URAIA

KUKANA URAIA

Watu wana comment ujinga hapa unaweza kufanya hivyo ukifikisha miaka kumi na nane , unaenda mahakamani kuapa kuwa kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu nimechagua kua raia wa tanzania , hivyo ninaukana uraia wa oman sababu tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili.
Shukran sana, wewe ni genius hadi hapo umenifunguwa akili jinsi ya kuandika barua ya kukana. #AhsanteSana
 
Shukran sana, wewe ni genius hadi hapo umenifunguwa akili jinsi ya kuandika barua ya kukana. #AhsanteSana
Kwanini unataka kuukana uraia wa Tanzania? Ukiukana uraia na hapa Bongo usikae....uwe unakuja tu kama mtalii.
 
Okay, wewe huna haja ya kuukana uraia wa baba yako. Wewe ni Mtanzani halisi unaruhusiwa hata kugombea Urais. Uraia wa baba yako achana nao tu hata usipoukana unajulikana wewe ni Mtanzania kwa kuzaliwa.
Nilienda kurekebisha majina yangu nida ndio nikaambiwa hadi nikane uraia ndio itawezekana kupata kitambulisho cha nida
 
Ndio siji kuuza so usiwe na wasiwasi na soko lako ww endelea kuuza tu

Nenda mahakamani upewe utaratibu namna ya kukana huo uraia wako uchwara sio kila kitu mtandaoni utaanza kupata hedhi uje humu kuuliza.
 
Anataka kuukana Utanzania. Bro umemuelewa kweli?
Wew ujui kiswahili vizuri , hatakama anataka kuukana uraia wa tanzania haina shida nina ndugu zangu ambao walizaliwa njee walipofikisha miaka kumi na nane waliambiwa kuchagua wenyew wanataka uraia gani , wao walikua wanaishi njee miaka hiyo yote na wanasoma huko wakipewa kila kitu kama raia wa huko , hivyo hauwezi kumsema mtu sababu hauijui situation yao hiko vipi , kungekua na options za kukubali uraia wote hakina anayependa kufanya hivi , ni changamoto tu.
 
Genius
 
Back
Top Bottom