Kukabwa na jinamizi wakati usiku umelala

Nafikiri itakuwa sahihi na msaada zaidi ukimpeleka kwenye hospitali ambayo.kuna daktari bingwa wa watoto,kwa maana hizihospitali zetu nyingi zimebaki jina tu na majengo.
Ishu kama hii ilishamtokea mtoto wangu nilimpeleka hospitali zaidi ya nne bila kupata ufumbuzi,ndipo nikaelekezwa kumuona daktari bingwa wa watoto akamfanyia vipimo na matibabu mpaka leo mtoto ni mzima wa afya.

Asante mkuu,ngoja nifanye research daktari mzuri wa watoto
 
Kukabwa na Jinamizi kama tunavyoiita kunatokana na sababu nyingi, ya kwanza kabisa ni jinsi wewe mwenyewe ulivyolala, mara nyingi unapolala chali mambo hayo yanakutokea, au ukiwa na jambo linalokusumbua kimaisha ambalo huwezi kulitatua linaweza kukuletea kukabwa na Jinamizi.

Sababu nyingine ni mazingira unayoishi au eneo ulilopo kama kuna makelele, au chumba kisicho na hewa ya kutosha au kuwa na mawazo kuhusu jambo fulani, au kulala na njaa au ukiwa umelala umekasirika au ndoto unazoota.
Eleza vizuri kupigwa miti na majini sio kitu halisi? , yani mtu unaumia kuingiliwa kinyume cha maumbile we unasema sio kweli.Vipi kumuingilia mwanamke usingizini inamahusiano gani?
 
Mkuu samahani,nina mtoto ana mwaka na miezi nane ghafla ameanza kukataa chakula,akila kidogo unaona jasho linaanza kumtoka ikifuatiwa na kutapika. Ni wa kiume,msaada tafadhali


Huenda ni minyoo , ukosefu wa vitamins n.k

Kamuone daktari bingwa wa watoto.

Au vyakula anavikinahi maana vinajirudia vile vile na mpishi yule yule.
 
Back
Top Bottom