Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,946
- 29,316
Kukata miti ni uharibifu wa mazingira na ni kosa.sawa mkuu, ila sioni umuhimu wa serikali kutumua fedha kuwanunulia raia fimbo. I mean kwa haya mazingira ya kitanzania kama lengo la kujikinga litasaidiwa sana na hizo fimbo, basi kuna miti mingi tu huko mitaani ambapo raia wanaweza kata vijiti vyenye urefu wa mikono yao, na hizo fedha za kununulia fimbo zikapata matumizi mengine muhimu zaidi.