Ongea na mkeo. Baba wa nyumba kulalamika sio vizuri. Ni kumkosea Mungu aliyekufanya kichwa.
Nilishaongea nae mara kibao ila nikizungumzia swala hili la nduguye huanza kulia na kununa ndio mana nawashirikisha weeeeee
kwanza huyo shemeji yako uliwahi kutambuliswha hapo awali?i mean unamjua kama shemeji yako tokea siku nyingi au ameibukia from nowhere?maanek isije ikawa ni mume mweznio maanake huo ukarbi sasa hapana ni too much,
Hili nalo neno !
Mjini mipango na akili nyingi nguvu peleka kijijini. Ila ikiwa hivyo tunasema ni "Roho ngumu tU"
Nilishaongea nae mara kibao ila nikizungumzia swala hili la nduguye huanza kulia na kununa ndio mana nawashirikisha weeeeee
Mko wengi nyie na nilitazamia watu kama nyinyi kujitokeza sishangaiYaani ww ..
1. Hukustagili kuoa ,.inaonyesha hukuwa tayari kuoa ,umekutupuka .
2. Mwanaume kamili tena anayesema ana mkr na watoto ,maswala ya kifamilia kama Baba wa nyumba ilikupasa kuyamaliza mwnyewe,hususani swala dogo kama hilo . Ww ndio kichwa .
3. Kuomba ushauri wa kifamilia kwenye Mitandao ya kijamii ni kuiabisha Familia yako ,zaidi ni huyo unayemuita mkeo. Kama swala lilikua kubwa na una uhakika ulifuata taratibu zote za ndoa basi kilichokupasa ni kuchukua hatua za kunuonana na mshauri wako wa ndoa ,na sio kuja kuanika mambo ya familia yako huku .
4. Hujui wajibu wako kwenye ndoa mpaka sasa ,mke kakukalia kooni.
5. Na mwisho ,acha kuiaibisha familia ,zaidi mkeo.
asije akawa mume mwenza a.k. X halafu maskini ya mungu mwenzangu na mm unadhan ni shemeji