Kukaa kwa shemeji kuna shida zake Jamani..

Kukaa kwa shemeji kuna shida zake Jamani..

Hapo nduyo ujue shemeji anampa dadaako anachotaka, kuna siku nilienda ukweni na wife siunajua mazingira mapya, nilimtafuna wife kibabe yaani mpaka tunaamka asubuhi watu wote
Sababu iliyowafanya wanune ni ipi?
 
Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia yaani nyumba haina singboard So hizo kwich kwich walahi asubuhi huwa natimka maana huwa nashindwa hata kumuangalia sister usoni naombeni ushauri wenu wadau.
Hiyo ni mbinu ya kufukuza wazurulaji!

Kwani huyo shemeji yako ni mtoto mdogo asiyejua staha na mazingira halisi ya nyumba mnayoishi?

Akiona "kujeeka" kwa kishindo hakukuondoi hapo, basi tegemea kufanyiwa kituko kingine kikubwa zaidi na hautaamini.

Ninachokushangaa, mwezi mzima unakuwa haujausoma mchezo na dhamira ya wenyeji wako, nikimaanisha dadako na shemeji yako lao ni moja?

Kwani lazima uishi hapo, kwa kusevu nini?

Hapa kuna mawili, simulizi hii yaweza kuwa ni riwaya ya kuburudisha jukwaa, ama wewe ni mtu jamii ya mswahili ambaye udhalili na uchawa ni jadi na unaweza kuishi mahali kwa masimango na manyanyaso ya kila aina na akavumilia.

Una utoto gani kushindwa kung'amua kitendawili cha wazi namna hiyo?
 
Maana unaweza kukuta jamaa linamkunja sista kama linabanika ngozi... dada anapiga ukunga akisikilizia utamu.

Afu jamaa katikati ya gemu linamwambia mtukane babaako... unasikia sista akibwatuka "keimamae zako baba"

Sasa hapo utawezaje kukaa?

Au asubuhi jamaa linamtandika vibao sistaako huku unaona... si kujitafutia matatizo ya kisaikolojia?
Hizo mambo ninazo mimi... umenichekesha sana anaweza tukana kizazi chake chote
 
Najua maisha yana mitihani mingi sana, lakini kukaa mahali ambako Dada angu kaolewa HAPANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom