Kukaa kwa shemeji kuna shida zake Jamani..

Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia naombeni ushauri wenu wadau.
Unapitia yepi mbona unatupa fumbo , funguka
 
Si unajua mtoto wa kiume kukaa kwa dada ni tofauti na mtoto wa kike?? Mashemeji wana kamtindo ka kupenda kula tunda kimasihara
😂😂😂 Arudi nyumbani akajipange upya aanze maisha yake uko uko maish aya kuishi kwa ndugu tena kama mjini ni adhabu
 
Unamuonea wivu dada yako.
We sema unataka kumpa shemeji yako utelezi
 
😂😂😂 Arudi nyumbani akajipange upya aanze maisha yake uko uko maish aya kuishi kwa ndugu tena kama mjini ni adhabu
Maana unaweza kukuta jamaa linamkunja sista kama linabanika ngozi... dada anapiga ukunga akisikilizia utamu.

Afu jamaa katikati ya gemu linamwambia mtukane babaako... unasikia sista akibwatuka "keimamae zako baba"

Sasa hapo utawezaje kukaa?

Au asubuhi jamaa linamtandika vibao sistaako huku unaona... si kujitafutia matatizo ya kisaikolojia?
 
Wadau nimefikia kwa sister angu hapa nna kama mwezi hivi huku nikitafuta angalau ka job ka kujishkiza ila kwa nnayo yapitia yaani nyumba haina singboard So hizo kwich kwich walahi asubuhi huwa natimka maana huwa nashindwa hata kumuangalia sister usoni naombeni ushauri wenu wadau.
Hapo nduyo ujue shemeji anampa dadaako anachotaka, kuna siku nilienda ukweni na wife siunajua mazingira mapya, nilimtafuna wife kibabe yaani mpaka tunaamka asubuhi watu wote wamenuna.
 
Kwani si alitolewa mahari?
 
Hapo nduyo ujue shemeji anampa dadaako anachotaka, kuna siku nilienda ukweni na wife siunajua mazingira mapya, nilimtafuna wife kibabe yaani mpaka tunaamka asubuhi watu wote wamenuna.
watu mna roho mbaya unaamua kujirudishia mahali ukweni dah
 
Unapata wapi ujasiri wa kukaa kwa shemeji yako?? Mm nilikataa huo upuuzi toka nikiwa mdogo
 
Maana unaweza kukuta jamaa linamkunja sista kama linabanika ngozi... dada anapiga ukunga akisikilizia utamu.

Afu jamaa katikati ya gemu linamwambia mtukane babaako... unasikia sista akibwatuka "keimamae zako baba"

Sasa hapo utawezaje kukaa?

Au asubuhi jamaa linamtandika vibao sistaako huku unaona... si kujitafutia matatizo ya kisaikolojia?
Haaa haaa vijana wanapenda mseleleko wakitoka vijijini wakija mjini salimia wanaaga vijijini kuwa dada kanichukua wanakomaa kisa mjini, binti au kijana unakuta anatumikishwa kama punda, na utakuta analala jikoni yani kisa mjini tu anakomaa inauzi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom