Kujua kua wewe ni mwanafunzi wa udsm na umepata hostel


Chance ndoto

Chance ndoto

Senior Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
143
Likes
77
Points
45
Chance ndoto

Chance ndoto

Senior Member
Joined Mar 8, 2017
143 77 45
Ndugu zangu kama umechaguliwa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM), Kama ndugu yako au rafiki au jamaa yupo udsm fresher.
Na kama amechukua admission form yake pale udsm nkrumah hall.
Sasa anaweza kujua hostel aliyoipata kupitia simu yake.
Ni hivi.
Ingia ARIS account ya udsm.


USERNAME: [registration number yako]
PASSWORD: [surname yako kwa herufi kubwa]

Hapo utapata updates zako zte na ukilipa ada utafunguliwa rasmi hyo account.
 
wise master

wise master

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
982
Likes
451
Points
180
wise master

wise master

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
982 451 180
sawa mkuu ,jana nimeenda pale wakaniambia letters za waliokua multiple 2nd round hazijawafikia bado ko nirudi J3
ngoja kesho nirudi pale I hope itakua tayari
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,016