Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,886
Usisahau mandela baada ya kutoka jela aliachana na mkewe. I was a teen then, nilisikitishwa sana na divorce yao. I even cried, na kujiuliza aafter all these years, why why and why!
.....mzee madiba mie simlaumu sana la kuachana na mama Winnie...
Mnapoingia kwenye mahusiano mnawekeza kwenye 'emotional' account.
Kuchukua maamuzi mazito na magumu ili kunusuru afya ya akili yako ni MUHIMU kuliko yule anayeogopa kuchukua hatua hiyo kwakuwa ana 'ogopa' JAMII itamuelewaje.
Positive Mental Attitude ni pamoja na kutafakari, kuchukua hatua, na kusimamia kile unachojithibitishia ndio sahihi na salama kwa "afya ya akili" yako (which brings us back to this topic)
Watu wanaua/na sababu ya MMU 🙁