Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
- Ahsante sana ndugu yangu ndio uzuri wa JF yaani Great Thinkers ni wengi sana na so is mazumbukuku pia, si unajua kwenye msafara wa mamba mikenge huwa haikosi! ha! ha! ha! ha! ha! People huu ni mwendo wa kujivua gamba ukifanya mchezo unabaki na gamba kama kobe mpaka mwisho wa dunia! ha! ha! ha!, MUCH RESPECT PEOPLE!
- Unajua people I am humbled na the strong response, ina maana kwamba we are on the right track na kujivua gamba, wengine ni lazima tulikomboe taifa letu kutokea kwa ndani na wengine mkitokea kwa nje, nia na madhumuni ni moja tu TAIFA KWANZA!
William @ NYC, USA.
Willy !
Kidumishe chama mkuu
Wasikunyime usingizi hawa jamaa, kwanza wametoka kwenye maandamano, ha ha ha!!!
ha ha!Mimi nipo SINGIDA VIJIJINI NAFUNDISHA, WEWE UPO NEW YORK CITY UNAZURULA KWA PESA YA WALIPA KODI UKIWA NA NDOTO ZA0 UONGOZI. Tanzania ya sasa si ileee ya chama cha baba yako na maamuzi ya NEC. Hupati kitu hapa, njoo ulime huku, kumbuka miaka inakatika, umri waongezeka majukumu nayo yajongeza. Mwenzio Riziwan mikakati inaendelea!
Mkuu, Hapo kwenye nyekundu nimecheka sana.- Mkuu ahsante sana kwa ushauri mzito sana utazingatiwa sana, na ni sasa hivi tu nimemaliza kuongea sana na Mheshimiwa Nape, kupata ushauri zaidi, sawa sawa ndugu yangu.
- Wengine kama nilivyosema kule mwanzo tunawasoma sana sasa tunaposhindwa kuwajibu sio kwamba ushauri wenu haufai, hapana ninaamini nyinyi ni watuwazima na ni great thinkers mnaelewa sababu ya kutowajibu, lakini so far so good inaonekana wengi tupo ukurasa mmoja, karibuni sana tunaendelea kusikiliza ushauri wenu JF GREAT THINKERS!
- Well mwendo ni ule ule kujivua gamba kwa mbele sana!
William @ NYC, USA.
- Well wakuu wote hapo juu, tunajaribu kusikiliza ushauri muhimu wa kutusaidia ili tuweze kulisaidia taifa letu, ukiona hatukujibu maana yake nafikiri inaeleweka sana sina sababu ya kuirudia maana wote hapa si watuwazima jamani na ni Great Thinkers.
Ahsanteni sana.
William @ NYC, USA.
With this literal diarhea, you sound deranged!!Kwa hiyo wewe ulisubili wajivue gamba ndo uanzishe tawi huko? kwa maana hiyo tangu siku hizo zote ulijua kuwa kuna madudu huko na ukakaa kimya na wala hukuja na hoja ya kutaka uozo huo unaouona wewe kuwa umeisha uondolewe. Tukikuita mdandia hoja tutatokesea? Ila hata hivyo ni gamba lipi walilovua? Je wamekuwa sungura wa kuwindwa sasa ili tuwakamate na tuwachome kuliko kipindi kile walivyokuwa nyoka kifutu na tulikuwa tunawakimbia tukiwaona au kuwaua kwa kuwatupia mawe au kuwapiga na fimbo na kuwatupa kichuguuni? Kwa hiyo u greater thinker wako ndo umefikia mahari hapo. Ungesema unaanzisha tawi kwa mapenzi yako ya chama cha magamba na sio kutumia hoja ya changa la macho eti 'kujivua gamba'.
Kwa hiyo wewe ulisubili wajivue gamba ndo uanzishe tawi huko? kwa maana hiyo tangu siku hizo zote ulijua kuwa kuna madudu huko na ukakaa kimya na wala hukuja na hoja ya kutaka uozo huo unaouona wewe kuwa umeisha uondolewe. Tukikuita mdandia hoja tutatokesea? Ila hata hivyo ni gamba lipi walilovua? Je wamekuwa sungura wa kuwindwa sasa ili tuwakamate na tuwachome kuliko kipindi kile walivyokuwa nyoka kifutu na tulikuwa tunawakimbia tukiwaona au kuwaua kwa kuwatupia mawe au kuwapiga na fimbo na kuwatupa kichuguuni? Kwa hiyo u greater thinker wako ndo umefikia mahari hapo. Ungesema unaanzisha tawi kwa mapenzi yako ya chama cha magamba na sio kutumia hoja ya changa la macho eti 'kujivua gamba'.
kwanza kawavue magamba zazi w
ako john malecela na mama yako wa kambo kilango halafu ndio waje huko NY mfungue hilo tawi la familia,Yani kubwa zima huoni hata haya pamoja na ufisadi wote wa EPA mzee wako aliofanya ili JKM aingie magogoni na wewe ukapewa fadhira ya kwenda NY kwa mabadilishanoa uranium ya Dodoma,sasa hilo tawi mlifungue vizuri kwani muda sio mwingi linaweza kutumika kuwahifadhi familia yenu watakapokimbia nchi.RIP CCM
William John Malecela, baba yako ni Tingatinga wewe ni nani? wheel loader? excavator?
endeleeni kuandaa makazi ya wazazi wenu muda si mrefu watakuwa asylum seekers!! mnafikiri mtadumu na ufisadi wenu huo?? njoo ufungue tawi Chamwino,Dom.
William,niko:
Kwa hili itakuwa ni kumuonea, William Malecela hatumii kodi ya Mtanzania New York, anaendesha maisha yake kwa kazi, na shughuli zake zinaeleweka. Yeye hakutaka kutafuna kodi za Watanzania na alikimbia nchi wakati bado baba yake akiwa ana ma vyeo kibao miaka ya 80, kwenda kwenye ubaharia, kwa hilo siku zote lazima umuheshimu. Mnyonge tumnyonge, haki yake tumpe.
- Mkuu no research no right to speak, basi si unganagalia japo kidogo huko nyuma our record, I mean CCM imjivua gamba na sisi tunajivua gamba na kukisaidia kujivua gamba zaidi kwa manufaa ya taifa letu, mwendo ni mdundo huu wa kujivua vua hakuna kuangalia nyuma tutageuka mawe! ha! ha! ha!
- Heshima yako sana ndugu yangu!
William @ NYC, USA.
[FONT=Comic
SansMS]niko:
Kwa hili itakuwa ni kumuonea, William Malecela hatumii kodi ya Mtanzania New York, anaendesha maisha yake kwa kazi, na shughuli zake zinaeleweka. Yeye hakutaka kutafuna kodi za Watanzania na alikimbia nchi wakati bado baba yake akiwa ana ma vyeo kibao miaka ya 80, kwenda kwenye ubaharia, kwa hilo siku zote lazima umuheshimu. Mnyonge tumnyonge, haki yake tumpe.[/FONT]
Hujajua kuwa kuna mawazo mapya na fikira mpya?ulidhani bado ni zama za wazee wako za zidumu fikira za Marekani?- Great Thinker na Great Thinking, ndio uzuri wa JF bado wapo, yaani Great thinkers pamoja na kwamba recently tumeingiliwa sana hapa huu uwanja, sivyo kama ilivyokuwa zamani!
- Thaanks Great Thinker, UBARIKIWE SANA!
William @ NYC, USA
Sawa William ninyi ndo watu mliojiwahi kufaidi matunda ya nchi hii Ila ccm inaelekea ni chama cha familia riziwan, Nape, Makamba, Mwinyi,Makongoro na wengine wengi baada ya mda na wewe utaingia kwenye cc.
- Mkuu ahsante sana kwa ushauri mzito sana utazingatiwa sana, na ni sasa hivi tu nimemaliza kuongea sana na Mheshimiwa Nape, kupata ushauri zaidi, sawa sawa ndugu yangu.
- Wengine kama nilivyosema kule mwanzo tunawasoma sana sasa tunaposhindwa kuwajibu sio kwamba ushauri wenu haufai, hapana ninaamini nyinyi ni watuwazima na ni great thinkers mnaelewa sababu ya kutowajibu, lakini so far so good inaonekana wengi tupo ukurasa mmoja, karibuni sana tunaendelea kusikiliza ushauri wenu JF GREAT THINKERS!
- Well mwendo ni ule ule kujivua gamba kwa mbele sana!
William @ NYC, USA.