Kujiuzulu waziri mkuu

Kujiuzulu waziri mkuu

MTH center

Senior Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
115
Reaction score
52
wanaJF,
wakati wa mjadala wa escrow niliwasikia baadhi ya wabunge bungeni wakimtetea pinda km PM kuwa hana kosa na hivyo hana sababu za kuwajibika kwa suala la ecrow! mimi ninavyojua wizara zote ziko chini yake na anapoharibu waziri yeyote kaharibu yeye pia. Kabla ya mtu wa nje ya serikali (mfn, Kafulila a.k.a Tumbili) kuona uchafu wa wizara alipaswa PM awe wa kwanza kuliona na kukemea ndan kwa ndani.
Je yeye km waziri mkuu a haribu wizara gani ili awajibike?
 
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.

Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?

Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?
 
Muhongo je?kweli bi mkora unazeeka vibaya.
 
FaizaFoxy, kwa nini wewe uko hivi? Mbona kila kitu ni mbishi tu kama vile huna nafsi?

.......na kwa kazi nzuri aliyoifanya anne kilango malechela kuipiga chini ripoti ya zito, jana jk kamzawadia unaibu waziri
 
Mahaba ni kitu kibaya sana.
 
Hata hujui unachokisema
 
.......na kwa kazi nzuri aliyoifanya anne kilango malechela kuipiga chini ripoti ya zito, jana jk kamzawadia unaibu waziri

Unafikiri Uwaziri ni keki? hiyo ni kwa mtu mwenye mawazo finyu tu.
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli, tatizo wengi wenu hamuuoni.
Wewe na CCM yako unapata wapi moral authority ya kijitanabaisha kwa neno ukweli? Nyie ni waongo wakubwa, mnapaswa kujiskia aibu sana kutamka neno ukweli.
 
FaizaFoxy, kwa nini wewe uko hivi? Mbona kila kitu ni mbishi tu kama vile huna nafsi?

Hapa hakuna ubishi hata chembe, hapa kuna ukweli tu.

Nnawasikitikia nyinyi msiouona ukweli. Funguweni vichwa ili macho yenu na masikio yenu yafunguke. Kwa muono wenu unavyoishia kwenye ncha ya pua zenu, laiti zingekuwa ndefu basi, sishangai kwanini hii nchi watu wake ni masikini licha ya ya nchi kuwa na utajiri wa kupindukia.

Kichwa hicho kinakwenda kuchukuwa pesa za bure bungeni mpaka muda wake ukiisha huku kikipiga pesa kwa kuzishauri nchi zenye akili, nyie mnachekelea.
 
kuna njia mbili zakuwa mpumbavu.....moja nikuamini kisichokuwa kweli mbili ni kutokubaliana na kile cha ukweli....
 
Ungeona utupu wako na harufu yako chafuu unatoa harufu

swissme

Sasa hapo unaonesha kuwa nimekushinda kwa hoja maana unaanza kuhororoja na kubwabwaja, waala sikushangai, ndipo uwezo wako ulipoishia.
 
Ndiyo maana nikasema Haachii mtu ngazi kwa ripoti ya Zitto. Na ndivyo ilivyokuwa , ripoti yake ilitaka waziri mkuu, na waziri wa nishati na naibu waziri wote wawajibishwe. Ikapigwa chini hapo hapo bungeni na ikakaa kamati chini ya Anna Kilango na yakatolewa maazimio mapya amabyo yalikuwa tofauti kabisa na ripoti ya PAC.

Leo watu wananiuliza FF vipi? FF sijui nini?

Mimi nawauliza, hawajuwi kusoma? au ndiyo upunguani wenyewe?
Umehororoja tu.....
 
Anakilango kala uwaziri sababu ya uenyekiti wa kuinusuru serikali kipingi cha maridhiano juu ya escrow duuu kufa kufaaana
 
Back
Top Bottom