BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,086
Waungwana ukifukuzwa kazi unapoteza haki zako zote ikiwa pamoja na marupurupu, je hawa mawaziri wanaojizulu wataendelea kuwa na haki ya kulipwa haki zao mbali mbali ikiwemo marupurupu?
Naomba ufafanuzi.
Maana kwa ufisafi walioufanya dhidi ya Watanzania hawastahili kuwa na haki zozote za ajira zao serikalini. Kama kujiuzulu wanastahili kuendelea kupata marupurupu basi JK akatae barua zao za kujiuzulu na awafukuze kazi ili wasipate marupurupu yoyote.