Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

Sonso21

New Member
Dec 22, 2010
1
45
Nafasi za professionals zipo but mtatangaziwa too late coz wakubwa wana watu wao wengi mno, so utaweza ukaisikia leo then baada ya siku 2 au moja ndo mwisho, kwenye pitapita zangu nilisikia mwezi wa 7 wanaweza wakahitaji vijana professionals
 
Askari wa miguu

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
336
250
Haipo hiyo usiudanganye Uma, jkt ndio the only way in... Kwa taarifa tu hadi madaktari wapo Jkt sa hv, wapo kama 6 hv wenye M.D pamoja na kozi nyingine kibao za kipaumbele jeshini, na jeshini madokta ndio hot cake lakini still hawaendi moja kwa 1 TMA.
Lonja zilizopo ni mwezi wa 10 kwa professional waliopo JKT, na kiukweli wapo wengi tu hadi master's zipo, my take...fanya ufanyavyo upate nafasi ya JKT otherwise Yesu atarudi atakukuta bado unasubiri nafac za TMA from uraiani!

rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,179
2,000
hadi website ya jeshi imeandika. jkt kwanza. usipende urahisi. kuna watu wana 2 kimbiji jkt wana phd zao.
 
Sirpartsons

Member
Jul 9, 2013
25
0
MIMI NI MWALIMU BED ARTS ENGLISH Natafuta kazi jamani tushituane wakenya wametunyang'anya nchi,0788845822
 
Askari wa miguu

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
336
250
Baada ya kozi ya miezi 6 ya JKT kwa kujitolea, TPDF pamoja na taasisi nyingine za ulinzi na usalama hupita vikosini kuwafanyia usaili vijana wahitimu au servicemen, kwahyo ukitaka JW utafanya usaili wa JW, ukitaka polisi, magereza au TANAPA hali kadhalika, na usaili hasahasa unahusisha tu uhakiki wa vyeti vyako tu na hamna complications zozote, kupimwa damu na 'king'amuzi' ni utapimwa ukienda kuanza kozi ya JW kama ukipita kwny usaili, so kama wewe ni good material utachukuliwa tu maana ni ngumu sana kukosa ajira kupitia JKT ingawa mara nyingine huwa inatokea kutokana na kigezo cha umri na elimu
ASANTE SANA NA JE HUKO JKT KUNA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA JW??

:angry:
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,101
2,000
Haipo hiyo usiudanganye Uma, jkt ndio the only way in... Kwa taarifa tu hadi madaktari wapo Jkt sa hv, wapo kama 6 hv wenye M.D pamoja na kozi nyingine kibao za kipaumbele jeshini, na jeshini madokta ndio hot cake lakini still hawaendi moja kwa 1 TMA.
Lonja zilizopo ni mwezi wa 10 kwa professional waliopo JKT, na kiukweli wapo wengi tu hadi master's zipo, my take...fanya ufanyavyo upate nafasi ya JKT otherwise Yesu atarudi atakukuta bado unasubiri nafac za TMA from uraiani!

Sure mkuu hata mimi nimeelezwa hivyo na afisa aliyeko jikoni soo mwezi 9 naingia jkt.

Tatzo watu wanadanganyana sana na stori za vijiweni
 
hidekel

Senior Member
Apr 7, 2012
142
0
hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.
 
Askari wa miguu

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
336
250
Nimeshaeleza kila kitu hapo juu! JKT ni lazima hata uwe na degree gani!!!
Ifike mahala uwe unaelewa kiswahili!
hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,101
2,000
hivi mtu ukija na gamba lako la ufundi wa ndege watakuzingua? au engineer wa madaraja? nahisi watakubambeleza, au dactari bingwa wa mifupa.

Nn degree ww dogo watu wana masters ya hizo vitu na wapo jkt. Acheni stori za kwenye vijiwe
 
TRAPATTONI

Member
Jul 8, 2013
9
0
Nilishafanya jitihada sana za kujiunga na hiko chombo bila mafanikio, tokea 2010 mwezi wa 7 hadi mwanzoni mwa 2012,

Napenda sana kuwa M'jeshi hasa kuvaa zile gwanda (JWTZ) ila kwa sasa nimeshachelewa.
bIG UP sana kwa Wanajeshi wote hasa wenye mapenzi mema na nchi yetu.
 
chief_mtemi

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
529
0
Baada ya kozi ya miezi 6 ya JKT kwa kujitolea, TPDF pamoja na taasisi nyingine za ulinzi na usalama hupita vikosini kuwafanyia usaili vijana wahitimu au servicemen, kwahyo ukitaka JW utafanya usaili wa JW, ukitaka polisi, magereza au TANAPA hali kadhalika, na usaili hasahasa unahusisha tu uhakiki wa vyeti vyako tu na hamna complications zozote, kupimwa damu na 'king'amuzi' ni utapimwa ukienda kuanza kozi ya JW kama ukipita kwny usaili, so kama wewe ni good material utachukuliwa tu maana ni ngumu sana kukosa ajira kupitia JKT ingawa mara nyingine huwa inatokea kutokana na kigezo cha umri na elimu

kwan mkuu umri ni average ya miaka mingapi isizid
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom